Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari za weekend wadau wa soka na wapenzi wa kandanda barani Africa na Tanzania kwa ujumla nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania:– Leo majira ya saa 4–usiku watakutana muamba ya...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
  • Poll Poll
BAYER 04 LEVERKUSEN VS ATALANTA BC Mabingwa wa bundesliga bayer leverkusen kumenyana na atalanta fainali ya ligi ya europa. Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Europa League...
6 Reactions
101 Replies
4K Views
Ukiangalia uwanja wa kmc unaona kabisa ni KIWANJA kizuri na chenye standard nzuri ukuta na hata majukwaa na vyumba Hii Inanipa sababu kabisa ya kuwaomba bodi ya ligi na tff mwakani kuwa team za...
11 Reactions
61 Replies
4K Views
Hii haikubaliki hata kidogo, Neno Sanda haliwezi kukaa mbele ya jezi ya klabu yetu, tena kifuani kabisaa. Uongozi wa Simba mbona mmelala sana? Haya mambo yanawezaje kufanyika na ninyi mpo? Hata...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Usinchoshe na Nsikuchoshe,Tusichoshane! Kwanza nikiri ya kwamba Mimi ni shabiki wa kutupwa wa Young Africans Nikiwa kama mdau wa soka na mpenda maendeleo ya mpira,nimekuwa nikivutiwa na namna...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana JF. Hivi ni kweli watu unapiga pesa kupitia company za betting au kubashiri kuhusu mpira au baadhi ya michezo mengine. Kikwel sijawh kuon mtu kapata pesa kupitia betting wala sidhn...
5 Reactions
31 Replies
9K Views
Najua tunataka Kumlinda Kocha Mgeni asianze na Nuksi, ila tunaomba nasi hata Mechi moja tu ya Kirafiki hata kama tutapigwa 9 kwa 0 poa ili mradi nasi tukione Kikosi chetu na tujue je, yaliyomo...
20 Reactions
43 Replies
3K Views
Tuweke kwanza pembeni ukweli kuwa huyu muuza nguo anayejiita Sandaland aliyewekwa front kwanza hajui kuvaa sasa sielewi inakuwaje anafanya biashara za nguo wakati anavaa kama Kibu Denis. Twende...
12 Reactions
60 Replies
4K Views
Huwezi kumwekea milion 200 kijana aliyekulia kambi ya wakimbizi bila kumuongoza. Kibu anahitaji washauri kabla ya kuwekewa mzigo kama ilivyo kwa Aziz ki au kijana yoyote kama Feitoto. Wote...
3 Reactions
5 Replies
613 Views
Wakati feisal kaingia mitini huku akiwa na mkataba Yanga kuliibuka kundi kubwa la mashabiki wa Simba wakimsupport ile mbaya wakidai ni haki yake Haya sasa imetokea kwao kwa kibu dennis nategemea...
15 Reactions
122 Replies
4K Views
wachezaji wa Riadha katika mashindano ya Olympic ya mwaka huu 2024 Paris yatakayo fanyika Nchini Ufaransa huenda kikosi Cha timu ya Tanzania iliyo tarajiwa kwenda kwenye mashindano hayo wasiende...
1 Reactions
4 Replies
875 Views
Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga...
25 Reactions
81 Replies
8K Views
Crescentius Magori kakabidhiwa tu jukumu la usajili simba imejikuta iko kwenye migogo mingi ya usajili kama ya lameck lawi, kagoma, awesu awesu na kibu dennis hata chama simba wanakuja shtuka...
1 Reactions
3 Replies
598 Views
Naomba mnitajie majina yao hawa magwiji wa kandanda.
1 Reactions
1 Replies
311 Views
Kama Waarabu wanaweza pata huu ujumbe basi uwafikie, si kwa ubaya lakini. Sijui nani aliwaambia timu ya mpira lazima iitwe kati ya Al Hilal, Al Ahly au Al Nasr. Mmeamua kabisa kutuchanganya...
13 Reactions
88 Replies
4K Views
Hizi sarakasi za wachezaji wazawa na mikataba hazitaisha. TFF waanzishe semina kwa wachezaji wote wa ndani na wa nje wanaocheza hapa nchini kabla ya kuwapa leseni wapewe semina ya mikataba. Kila...
2 Reactions
5 Replies
514 Views
Lipo jamaa moja linadai limefunguliwa na TFF likidai kwenye eneo la usemaji halina mpinzqni, kwa hili la leo la Ahmed Ally Mashine ya kuongea, aaaah wana simba tumepata msemaji. Huyu bwana kwanza...
2 Reactions
4 Replies
731 Views
Moja ya nguvu kubwa ya binadamu aliyopewa ni uwezo wa kufanya chaguo(Choices). Japo knowledge yangu bado ni limited, ili sina imani kama hata malaika wamepewa nguvu ya kufanya machaguo kama...
11 Reactions
58 Replies
3K Views
1. Aliujuwa mpira na mpira ulimjuwa na ulimfuata. 2. Mara nyingi alipo uagiza ulifika kwa mlengwa. 3. Ukimuuliza Zidane ni kipi anajutia kwenye Soka?! Hatokwambia ile Kadi Nyekundu kwenye final ya...
2 Reactions
4 Replies
460 Views
Kutokana na sintofahamu na tetesi zinazoendelea kuhusiana na Denis Kibu (mpaka leo sielewi kwa nini watu wanamuita Kibu Denis badala ya Denis Kibu lakini hilo tuliache kwa leo), nimekumbuka kauli...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…