Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Baada ya kuona Klabu ya JKU ya Zanzibar ina Umasikini ( Ukata ) hasa katika Kushiriki Michuano ya Kimataifa Klabu ya Pyramid kutokea nchini Misri imeamua kutumia Umasikini wa JKU ya Zanzibar kwa...
13 Reactions
76 Replies
5K Views
Mwanariadha wa zamani na kocha wa mchezo huo, Suleiman Nyambui amesema hakufurahishwa na kitendo cha Uongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) kutojitokeza kuwapokea Wanariadha wa Tanzania...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia huu mfumo unaochezwa na Simba sasa wa kuwategemea mabeki wa pembeni waje kutengeneza nafasi kwenye kufanikisha mashambulizi pale na kushuhudia unavyotufelisha kwa sasa...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa naMichezo Dkt. Suleiman Selela atakabidhi bendera na kuiaga timu ya Taifa itakayoshirikikatika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto inayoanzasiku...
0 Reactions
9 Replies
887 Views
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’›πŸ’šπŸ’› Next time hatukamii game ..
7 Reactions
30 Replies
2K Views
..π—žπ—”π—₯π—œπ—•π—¨ π—•π—’π—‘π—šπ—’ π—¨π—π—œπ—’π—‘π—˜π—˜ Beki wa kati Felly Mulumba alipewa Thank You na klabu ya Coastal union mwanzoni mwa dirisha hili la usajili 2024. Felly Mulumba amepewa Welcome na klabu ya Coastal union...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Hakuna kitu kilichowahi kuniumiza moyo kama nilipomuona mnyamwezi mwanzangu Ismal Aden Rage akilia kama mtoto baada ya KUTENDWA na APR. Kwa kweli huu ni mkasa ambao wana simba wanabidi waujue na...
10 Reactions
12 Replies
1K Views
Mshindi anavuta billion 10 Mshindi wa pili bill zaidi ya 5 Hii inatamanisha yanga wakaze huenda hela ya ujenzi wa uwanja ikapatikana huko caf
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna haka kautamaduni tunako waswahili ka kuwachukulia poa sana wachezaji wazawa. Inafikia wakati wanalipwa mishahara duni, wakitaka kuuzwa wanauzwa kwa pesa ndogo sana kiasi kwamba hata haitajwi...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Olympic ys mwaka huu ilikuwa na michezo zaidi ya 30. Hadi kutembea ulikuwepo Niliwahi kutembea kwa miguu toka Kibamba mpaka Masaki studio za Master Jay kurekodi single yangu,ilikuwa mwanzoni mwa...
4 Reactions
18 Replies
809 Views
Hiki ni kikosi kinachoanza dhidi Ya Vital'O ya burundi kwenye Mchezo wa Leo
4 Reactions
4 Replies
772 Views
Klabu ya Yanga leo itatupa karata yake ya kwanza katika michuano ya Caf Champions ligi dhidi ya Vital'O ya Burudi mchezo ambao utachezwa katika dimba la Azam Complex Chamazi saa 10 kamili jioni...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Ushabiki wa timu za mpira umekuwa na historia ya muda mrefu hususani kwa timu hizi mbili za kariakoo. Kwa siku za hivi karibini kumejitokeza utamaduni mpya wa watu kuhamia timu wanayoona inafanya...
1 Reactions
6 Replies
695 Views
Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na...
2 Reactions
2 Replies
599 Views
1.JKT Tanzania 2.Fountain gate 3.pamba jiji
3 Reactions
9 Replies
1K Views
β€œSimba kilichobadilika ni hizi jezi. Simba hii ya msimu huu ni mbovu kuliko ile iliyopita. Simba iliyopita ilikuwa na wachezaji ambao mnasema wameshazeeka lakini wana uzoefu ambayo walikuwa...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwanamichezo mstaafu na mchambuzi wa michezo Amri Kiemba ameandika maoni ambayo yamenifanya niwaze na kukaa chini kutafakari juu ya kauli na maneno ya msemaji ambayo kila siku yanazidi kushangaza...
11 Reactions
75 Replies
4K Views
Hakuna timu nyingine utamkuta kocha ana furaha na wachezaji wake kama alivyo Gamondi. Kwa furaha hii, tuendelee kuiona Yanga ikichukua mataji baada ya mataji. Na Jumamos ijayo Vital'O ya Burundi...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Azam Tv wamezindua chaneli mpya ya Azam Sports 4HD na watarusha La liga ( Ligi Kuu ya Hispania) pamoja na Ligi Kuu ya Italy (Serie A) Chaneli hiyo itaanza kuruka hewani 1 August 2024. Tayari...
24 Reactions
108 Replies
17K Views
Ligi Kuu ya soka nchini imeanza rasmi leo kwa Pamba Jiji kutoka suluhu na Prisons ya Mbeya, vijana wengi mnaweza msiijue sana historia ya Pamba ya Mwanza, nitakuja kuwaeleza siku nyingi kuhusu...
1 Reactions
5 Replies
928 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…