Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari wadau. Nimekuwa nikifuatilia mada za Wanayanga tangu game ya simba huko Libya. Wamekuwa wakija na hoja vunjifu hoja katishi mmoja kasema kuhusu simba hajapiga shuti la kulenga goli mara...
6 Reactions
4 Replies
475 Views
Hali ndo ipo hivyo hamna namna Simba leo watashinda au kutoa draw. Hamna namna. Hilo lipo wazi kabisa. Wao vyovyote vile wajue watapokea kipigo. Watake wasitake. Al Ahly ni team nzuri sana si...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Naangalia hizi rangi sipati kuzielewa inanikumbusha zile picha za kiboko ya wachawi.. Hii n rangi halisi au mpwa kafanya yake.
3 Reactions
13 Replies
1K Views
βŠ›....... π™”π˜Όπ™‰π™‚π˜Ό 𝙉𝙄 𝙉𝙀𝙓𝙏 𝙇𝙀𝙑𝙀𝙇 Nimetambua kuwa yanga kwa sasa ni next level kwanini?.. Baada ya weekend hii Simba na yanga kucheza michezo yao ya CAF binafsi nimetambua kuwa yanga ndio nembo ya...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Kama matches zetu watu hawaji au teams tunazocheza nazo kama CBE na IFM hazina mashabiki kwani ni kosa letu? Aache ufalah. Sawa Libya huwezi linganisha na Ethiopia lakini awe makini sana. Naona...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Wengi hamuoni kile ambacho mimi nakiona, mtu unaona kabisa hii ni hatari ila watu wengi wqnachukulia poa. Ahly Tripoli ina skills za kukaba na kuzuia ambazo sijawahi kuziona hapo CAFCC na CAFCL...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Kilichosononesha wachezaji sio drw n kukosa mil 5 ya goli la mama Hii kwao ilikuwa kama mateso makubwa na kingine kila anaefika mbele anataka kushinda yeye utasema mil 5 anapewa mchezaji...
5 Reactions
38 Replies
1K Views
Yaani huku vijiweni ni majigambo tu , ": Mara ooh Tumecheza uwanja wa mpinzani uwanja ukiwa full house, mara ooh Yanga walicheza Ethiopia uwanja ukiwa na Mashabiki 50 tu. Mara ooh Simba ni kubwa...
15 Reactions
65 Replies
2K Views
Nimemsikiliza msemaji wa fountain gate vizuri akisema yanga walikiuka makubaliano kwa kuchelewesha fedha walizokubaliana juu ya mauzo ya kagoma ivyo mkataba ukawa umevunjika na wakawauzia Simba...
7 Reactions
72 Replies
4K Views
Simba Sports Club pamoja nakuwa na kundi kubwa la wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi jipya kabisa lakini bado wameonyesha kuwa wao ni timu namba moja kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati...
11 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari zenu wana sport wa Jukwaa hili, Kama wote tunavyojua Jana Timu yenye Jina na sifa kubwa ndani ya bara la Afrika ilikipiga pale Libya. Kiukweli Jana Timu ilicheza vibaya poor control...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba nilielekeze swali hili kwa viongozi, wanachama, wapenzi, wakereketwa, wafiatimu, mashabiki wa Simba Sports Club. Mmejipangaje na shirikisho msimu huu. Hivi mnajua kuna kutolewa kwenye...
4 Reactions
15 Replies
828 Views
Uchambuzi wangu Bora hata Azam tunaweza kusema walikufa kiume....Kwani walipambana Kwa kupiga mashuti mengi ambayo yalilenga lango japo hawakuwa na bahati. Ila ndugu zangu makolo. Wana kikosi...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
πŸ›‘Klabu ya KenGold ya Chunya Imeripotiwa kuwa iimeachana na aliyekuwa kocha wake Mkuu Fikiri Elias kwa makubaliano ya pande zote mbili.
1 Reactions
8 Replies
825 Views
Ndugu wanamichezo wote! Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza. Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima...
5 Reactions
43 Replies
9K Views
Hii kanuni bwana kanjibhai wa Simba aliitumia ipasavyo kwenye zoezi Zima la usajili msimu huu! Akutaka kuumiza kichwa kusajili wachezaji Wenye profile kubwa Wala Wenye uzoefu wa michuano ya...
5 Reactions
56 Replies
2K Views
Binafsi ni kama vile simuelewi simuelewi hadi ninaanza kuhisi kuwa huenda hata Inonga kamjaza Sumu za Simba SC.
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Nikianza na vile nimewapima wale Tripoli hawatokuja kupaki basi kwetu kama tulivyofanya sisi ila tu watapunguza possession watatutega kwa mipira mirefu na through balls katikati ya mabeki wetu...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Muonekano wa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Senegal Keita Balde, baada ya kuacha kujichubua na kurudi kwenye rangi yake ya asili. Pia, soma: Naby Keita mchezaji wa mpira zamani liverpool...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha klabu kufuata kanuni kwa...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…