Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Umeanza kwa kususua sana na timu haina stability, fanya hivi. Guler, endryk, rodrygo waanzie bench
3 Reactions
11 Replies
740 Views
Hawa ni changamoto sana. Timu ikishinda goli chache inatupiwa lawama kuwa kiwango kimeshuka. Timu ikishinda goli nyingi wale wa upinzani wanasema timu iliyoshinda imenunua mechi na wachezaji...
3 Reactions
7 Replies
655 Views
Napata sana mashaka na hili jambo. Iko hivi siku zote inajulikana uwanja wa mazoezi wa Yanga ni Avic town huko ndo kuna kambi yao na mazoezi yao. Lakini baada ya msimu kuanza na simba kua na...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Huyu kocha ni mtu wa hatari sana, katika vitu nafurahishwa navyo ni pale ninapoona 5imba hawana mpango naye, Ila katika makocha wajuzi na hatari hususan kwa Ligi yetu ni Juma Mgunda a.k.a Mzee wa...
2 Reactions
7 Replies
853 Views
Naona uongozi wa kolopwinyo hautaki kabisa tufurahi kwa kuangalia upendo wa Precious Christopher Wamempa skin ndefu avae 🚮🚮🚮🚮🚮🚮
3 Reactions
59 Replies
3K Views
1. Ulikuwa upande wetu mwanzo mwisho 2. Ukazui tusifungwe la tatu 3. Maelekezo uliyopewa uliyatekeleza ipasavyo.
1 Reactions
2 Replies
483 Views
Sielewi Hawa viongozi wa Simba wanakuwa wanafikiria nini vichwani mwao lakini nahisi pale Simba bado Kuna viongozi wapigaji sana! Uyu jamaa anayetaka kusajiliwa Kama mshambuliaji ni mzigo...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
1.Mussa Camara Siku mbaya kazini ngumu kumtenga na lawama za goli la 2 la coastal union pengine itampa funzo flani 4/10 2.Shomari Kapombe Perfomance nzuri kwake hakuwa na baya kubwa ingawa goli...
3 Reactions
9 Replies
883 Views
weKUNDU wa msimbazi walianza 4-0 3-0 2-0 1-0 2-2(droo) Inayofuata ni tarehe 19 sijui nini kitatokea sasa[emoji23] Je derby itakuaje[emoji23][emoji23][emoji24][emoji24] Sent from my TECNO KG5j...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
FADLU:MLIKUWA MMEZIDISHA SIFA. . "Sare hii ni motisha sahihi sana kwa Wachezaji wangu kuelekea Derby!tumeku tukisifiwa na mapambio mengi kwenye vyombo vya habari na huwa nasema sisi bado hatupo...
2 Reactions
13 Replies
746 Views
Hakuna jambo gumu kama kuendesha timu ya mpira na kuifanya ikupe mafanikio ya haraka, Unaweza kuwa na pesa yakutosha ila ukajikuta unaambulia patupu. Pesa peke yake hazitoshi bali akili nyingi...
12 Reactions
42 Replies
4K Views
KITENDAWILI: Mechi ya kwanza 4️⃣ Mechi ya pili. 3️⃣ Mechi ya tatu. 2️⃣ Mechi ya nne. 1️⃣ Mechi ya tano sare Mechi ya sita itakuwaje?
2 Reactions
3 Replies
334 Views
Hii haitozihusu zile penati zinazopatikana kwa beki kuunawa mpira ndani ya 18.Iwapo Mchezaji kapambana na kusababisha penati alafu hapewi fursa ya kupiga yeye basi walau ahesabiwe kama ame...
2 Reactions
3 Replies
513 Views
Mambo 15 ya kuwashauri viongozi wa Simba 1. Mikakati ya Yanga ni migumu nyie kuijua hivyo Yanga anaweza kubeba ndoo miaka 10 mfululizo 2. ⁠Msitumie neno Ubaya Ubwela vibaya coz mwisho wa msimu...
17 Reactions
36 Replies
4K Views
Huku Africa mpaka leo kuna watu bado wanazaliwa nyumbani,Africa nchi nyingi hazina database ya raia wake. Elly Mpanzu kuwa na miaka 22 !!!!. Mpanzu kama kazaliwa 2002 mimi nilishamaliza form...
9 Reactions
40 Replies
2K Views
Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC ✍️. Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa soka la kisasa Half-Space ni sehemu vital sana kwenye kutengeneza na kufunga magoli... Bahati mbaya sana hizo sehemu ndo tuna Kibu na Mutale. Unaweza kufurahia hivyo vigoli vyao vya...
2 Reactions
1 Replies
427 Views
Kifungo cha miaka minne cha Paul Pogba kutojihusisha na soka baada ya kudaiwa kutumia dawa za kusisimua misuli kinyume na taratibu za soka, kimepunguzwa hadi miezi 18 baada ya kufanikiwa kukata...
0 Reactions
5 Replies
976 Views
Nilikua napita Twitter nikakutana na Clip ya shabiki mmoja wa Simba yule Tomboy wa Rasta anasema Kauli ya Ally Kamwe ichunguzwe ety kwanini alisema vile Kwa kujiamini na kweli imetokea.😂😂😂😂 Ally...
12 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…