Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hali inayosemekana kuwa timu zetu kongwe za kariakoo jijini dar es salaam kuwa na tabia ya viongozi wa timu hizo kuwapangia makocha wachezaji wa kucheza match, leo hii kupitia kituo cha redio cha...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Naagalia hii mechi kati ya Zambia na Cape verde yaani ni aibu tupu mvua inanyesha na uwanja umejaa maji hata radha ya mpira hamna. Hivi kwa nini mechi isiahirishwe ili kulinda heshima ya Afrika...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa nini timu za africa zinapenda kuajiri makocha wa kizungu? je mpira wa Afrika utaendeleje kama 'waalimu' wanakodishwa maka nenda mwaka rudi? Keshi told BBC Sport that white coaches are not...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kikosi cha Yanga kikiwa uwanjani Dar es Salaam. Siri ya Yanga kugomea mkataba wa udhamini waAzam TV, inadaiwa ni kutokana na klabu hiyo ya mtaa wa Jangwani kuwa na mazungumzo na Kampuni ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
hili linatokana na matamko ambayo Yanga mara kadhaa inatoa pale inapokosa ushindi. mara watasema walionewa na mwamuzi. mara watasema uwanja ulikuwa mbovu, mara watasema walilazwa hotel mbaya n.k...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Leo, Januari 28 2015 Ligi Kuu ya Vodacom Simba 1 - 2 Mbeya City Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Saa 1600 Jioni Mpira umekwisha!
11 Reactions
361 Replies
35K Views
kuna tetesi kuwa mwenyekiti wa usajili wa club ya simba(mikia) fc amepeleka barua TFF  ili aweze kuidhinishwa kuwa msemaji wa club hiyo ili aweze kuwa huru zaidi kuongelea mambo yanayoihusu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
awali nilikua mpenzi sana wa Shafih Dauda sasa amefifia nimebaki wa Bin Zubeiry na Saleh Jembe Je Kitaifa kuna Blog nyingine kali zaidi? Kimataifa Naangali sana Goal.com ama Live Score kuna...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Hili ni kongamano la kimataifa ambalo hufanyika kwa minajili ya kujadili soka katika mtizamo wa kibiashara. Mwaka huu liifanyika Afrika Kusini katika Uwanja wa Moses Mabhida. Kama inavyoelezwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
By Drazen Jorgic NAIROBI (Reuters) – Kenya’s Rita Jeptoo, winner of the Boston and Chicago marathons, has been banned from for two years after failing a drugs test, Athletics Kenya (AK) said on...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamal Malinzi, Kuna kitu kidogo sana ambacho uspokiangalia kwenye uongozi wako utamaliza vibaya na kufuta kabisa kistoria yako ya yale ambayo angalau umeyafanya yanayoonekana ni mazuri. Mpira wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
nimesikia wanachama wa simba kipindi cha michezo cha redio kuwa kuna mzungu kichaa anavurugana na viongozo wenzake kwenye klabu ya simba huyo mzungu kichaa ni yupi utujuze sisi mashabiki wa simba
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ureno Luis Figo ametoa taarifa za kushitusha baada ya kutangaza kuwania Uraisi wa FIFA. Nyota huyo wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon, Barcelona, Real...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
nimesoma gazeti moja kuwa kuna habari ngasa ameenda afrika kusini kufanya majaribio. mimi nampa tano lakini uongozi wa yanga unadai kuwa hauna habari eti ikibainika kama kweli itampa adhabu...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Kabla ya MECHI YA SAFRICA NA GHANA AKIWA OFISI ZA SS3 ALIULIZWA UNAONAJE MECHI YA LEO ,AKAJIBU AKUNA TIMUPALE YA KUIFUNGA GHANA,,NA MKISHINDA SAFRICA NIKO NA MASHINE HAPA NANYOA NDEVU NA NYWELE...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Juz TAMBWE kafanyiwa vbaya na wale mijida Simba wakasema yanga wagangamae,leo viongoz wa simba hao hao wanaitaka TFF imchukulie hatua Aggrey Morris kwa kumpga kiwiko Okwi,wamesahau matusi yao kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau tafadhali nijulosheni. Eti nikiwa ma king'amzi cha Azam nitapata chanel ya mieleka?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa utaalamu wangu picha anaedai amis tambwe kuwa alimpiga kibao beki katili ni uongo.kwanza angalia mikono ya tambwe mkono mmoja hauonekani pili wapo sambamba hicho kibao atampigaje beki katili...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Jamani wana michezo, Nakumbuka kulikuwa na mchakato wa ubunifu wa jezi mpya za Taifa Stars, ulioanza November, 2014. Ningependa kujua zoezi hili limeishia wapi hadi sasa January, 2015. Mimi niko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau karibuni uwanja wa taifa kuona mechi kali tangu mwaka 2015 uingie vijana wa unyamani simba sc watakipiga na kinara wa ligi kuu Azam fc wana lambalamba, vijana wa simba chuo cha soka Tanzania...
0 Reactions
227 Replies
29K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…