Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Tasnia ya soka la bongo limegubikwa na mambo mengi ya ajabu, wenye taaluma hawapewi nafasi ya kuongoza, wenye nafasi hawataki taaluma ya kuongoza. Ukiwauliza unaambiwa "uongozi ni karama"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simba Wana Nafasi Kubwa Ya Kubeba Ndoo, Nimejarbu Kuziangalia Azam Fc, Yanga Pamoja Na Simba Na Naipa Asilimia 60 Simba Kutwaa Ubingwa Kutokana Na Ubora Wa Kikosi Chao Mwaka Huu, Kama Watacheza...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Leo ni siku ya pili ya semina ya Shotokan Karate kwa nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini ambayo inaendelea hapa Don Bosco chini ya Shihan Koichiro Okuma Sensei (6th Dan) kutoka Japan. Tayari...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Shihan Koichiro Okuma (kulia) akijiandaa tayari kuanza semina. Kushoto ni mwalimu wa siku nyingi wa karate Tanzania, Willy Ringo Rwezahura Sensei. Kama mwenyeji, nami nilikwenda kumpokea Shihan...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Nmeula mwenzenu
0 Reactions
1 Replies
671 Views
Moja kati ya habari zinazo-trend kwa siku ya leo August 29 2016 katika soka ni hii ya klabu Al Ittihad Alexandria ya Misri kutangaza kuvunja mkataba na nyota wa kimataifa wa Cameroon Samuel Nlend...
3 Reactions
70 Replies
12K Views
Katika kuelekea ile sikukuu yetu ya tarehe 01.10.2016, leo nawaletea kwenu Alhaj Abdallah Athumani Seif ‘King Kibaden Mputa'.. Living Legend wa Simba SC. Huyu kiumbe ni nani katika nchi hii?? 1...
1 Reactions
3 Replies
8K Views
396562
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni, Simba SC leo ameendelea kutakata kama kawaida yake katika "mbuga" yake ya Shamba la Bibi. Na hii ni baada ya kuiadhibu ipasavyo timu bora katika VPL...
15 Reactions
65 Replies
6K Views
Wakuu kama kichwa za habari kinavyojieleza please
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanamichezo wa JF. Timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar ya wanawake, imefungwa kwa tabu sana magoli 10 kwa 1 dhidi ya Burundi, katika michuano ya CECAFA Challenge, Wanawake, nchini Uganda.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Uwanja wa uhuru, milango yake ya kuingilia na kutokea watu wa kawaida imewekwa upande wa barabara itokayo Buguruni, kwenda Kurasini. Pembeni mwa barabara hii kuna mfereji mkubwa sana uliejengwa na...
1 Reactions
1 Replies
905 Views
Wakuu salama Naangalia hapa maisha plus, ninacho kiona hapa upeo wa vijana wa kiTanzania ni mgodo kuliko wa vijana kutoka nchi zingine. Wanashindwa kabisa kujieleza, wanaulizwa nani angemchagua...
0 Reactions
4 Replies
795 Views
Taarifa niliyosoma kutoka Mwanaspoti inasema kocha wa zamani wa simba Mzee James Siang'a amefariki usiku wa kuamkia leo tarehe 10/9/2016. Huyu ndio kocha alifundisha simba kwa mafanikio makubwa...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
Hakika kila mtu anaisubiri siku yake kama saa nane na nusu siku ya Jumamosi ya tarehe 10 Septemba. Goal - De Bruyne (City)...15mns Goal - Ihenacho (City)... 36 Goal - Ibrahimovic (United)...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Hawa wakuitwa "Wa Kimataifa" hebu tuchunguze matokeo yake tangu ligi ianze.. lengo ni kuona, "je yaliyomo yamo??'' 28/08/2016: Young Africans 3 - 0 African Lyon 07/09/2016: Ndanda 0 - 0 Young...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
1. Aliyekua kocha na mchezaji wa mda mrefu wa Mtibwa Sugar, Mecky Mexime alijiunga na Kagera Sugar kwa ajili ya Msimu huu wa 2016/2017 kama Kocha Mkuu.. Nafasi yake ilichukuliwa na Salum Mayanga...
3 Reactions
53 Replies
5K Views
Hatimaye Kipenzi cha wana yanga Andy Coutinho arudishwa rasmi yanga , Source Muungwana
0 Reactions
11 Replies
2K Views
kwa kauli ulioitoa tff kwa vilabu vya simba na yanga kwa mfumo wanaohitaji kuutumia ukikebehi na kuudharau na kuiagiza tff iufatilie utaratibu eti wa mikutano na hoja zilizotolewa kwenye mikutano...
0 Reactions
1 Replies
773 Views
Kwa muda mrefu sana timu ya majimaji imekuwa haifanyi vyema hali ambayo wangoni na wakazi wa songea hakuna hatua wanayochukua.angalizo mwaka huu hakuna namna lazima timu ishuke.mkoa umekosa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…