Hii Simba SC Haijawahi Tokea.. Yawaadhibu Ipasavyo Mtibwa Sugar.

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Mnyama mkali pengine kuliko wote mwituni, Simba SC leo ameendelea kutakata kama kawaida yake katika "mbuga" yake ya Shamba la Bibi.
Na hii ni baada ya kuiadhibu ipasavyo timu bora katika VPL, Mtibwa Sugar [achana na wale "wazugaji" Majimaji].

Mnyama kashinda goli 2-0.
Wafungaji wakiwa Ajibu na Mavugoal.. Yaani huyu Mnyama, akikukosa Ajibu, anakupata Mavugoal.

Nadhani sasa mtaa wa pili mmeanza kuelewa ni dozi ya kiasi gani tunaenda kuwanywesha tarehe 01.10.2016.. na mjipange kisawasawa kwa maana dozi tunayoenda kuwapa itakua tofauti na ile ya mwaka 2012.

SIMBA SPORTS CLUB, NGUVU MOJA
 
Naipenda Majimaji
 
Ikiwa lazima dozi...huyu ni mnyama mkali sana

Mkuu uite uwanja wa Uhuru.. hilo jina limepigwa marufuku la shamba
 
Back
Top Bottom