Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ukiniuliza Katika Maisha yangu ya Ushabiki wa ARSENAL Ni Wachezaji Gani waliyonishawishi Kuipenda ARSENAL Ntakwambia ni NWANKO KANU na DENIS BERGKAMP na Historia Zao ndio Zilinivutia Kutaka...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
730 Views
Siku zinaenda mbele hazirudi nyuma,ipo siku tu Yanga au simba wanaweza kumiliki uwanja wao,sasa nina swali kwa mashabiki wote humu ndani. Imetokea siku Yanga ndio wapo uwanja wao wa nyumbani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Awali ya yote napenda nisieleweke kama namlaumu mtu yeyote bali natoa maoni ya kitaalamu kwa baadhi mambo ambayo yangestahili kuzingatiwa wakati wa ujenzi wa uwanja huu. Ambao kwa sura ni mzuri...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mechi itachezwa kuanzia saa 15:30 GMT leo 02.10.2016 kwenye uwanja wa Aliphonse Massamba Debat jijini Brazzaville, Congo. Marefa wanatoka Burund...
0 Reactions
187 Replies
28K Views
Haya ndo malalamiko ya Simba SC..
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limepokea barua kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Ethiopia (EFF), ikielezea juu ya kufutwa kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliokuwa ufanyike...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakika wanasimba wanazidi kuumia kuona goli la mkono kutoka ulaya kwa clabu kubwa kama arsenal aise inazidi kuboa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limepokea barua kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Ethiopia (EFF), ikielezea juu ya kufutwa kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliokuwa ufanyike...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Nimekuwa msomaji wa habari za michezo katika blogs mbalimbali kama vile ya Shaffih Dauda, Bin Zubeiry, Saleh Jembe, Sports in Bongo nk. Wamiliki wa blogs hii ni wachambuzi na wapiga picha wazuri...
1 Reactions
23 Replies
8K Views
SIMBA na Yanga zitakutana katika mechi ya mwisho ya kufunga msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, mapema mwezi ujao. Mchezo wa kwanza, Yanga iliifunga Simba 1-0, bao pekee la Mzambia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mengi yamezungumzwa na wachambuzi wa soka kuhusiana na matukio na matokeo ya mchezo wa Simba na Yanga Jumamosi iliyopita. Mojawapo ya tukio lililovuta hisia ni utovu wa nidhamu aliouonyesha...
3 Reactions
2 Replies
4K Views
Nyota wa zamani wa Liverpool na West Ham Rigobert Song amekimbizwa hospitalini akiwa katika hali mahututi baada ya kuugua kiharusi. Ujumbe wa Samuel Etoo katika ukurasa wake wa Instagram...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwanza niseme wazi wazi kabisa huwa sikubaliana na njia za matumizi ya nguvu kwenye maamuzi yoyote yale. Lakini pia wanasema binadamu ukimnyima haki yake mwishowe huamua kuchukua kwa nguvu. Na...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilikuwa namsikiliza Mchezaji Wa Zamani Steven Nemes hapa E FM,ktk maongezi yake amewataja pia na baadhi ya wachezaji Wa zama zile kweli nimejihisi kusisimka kama zamani,wakati ule mchezaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri Nape Nnauye amezifungia timu za Simba na Yanga kutumia uwanja wa taifa mpaka pale zitakaporuhusiwa tena na serikali. Hii ni kufuatia baadhi ya mashabiki kuvunja viti jana. ---------...
2 Reactions
348 Replies
45K Views
Klabu ya Swansea ya nchini Uingereza imemfukuza kazi kocha wake Francesco Guidolin na nafasi yake inachukuliwa na aliyewahi kuwa kocha wa timu ya taifa ya Marekani Bob Bradley. Swansea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
By Jermaine Jenas MOTD pundit and former Tottenham midfielder Jermaine Jenas will join Gary Lineker and Alan Shearer on Match of the Day at 22:25 BST on Saturday and is also on Match of the...
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Tangu jana kumezagaa tetesi kua, kocha mwenye heshima kubwa nchini Tanzania na katika klabu ya Simba S.C, Jamhuri Kihwelo 'Julio' ametangaza kujiuzulu ukocha, na kuapa kutofundisha tena mpira...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…