Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mjomba wangu ni mpenzi kichaa wa ligi ya uingereza. Amenitembelea na kwenye tv yangu hataki kitu kingine ila ligi ya uingereza. Nina king'amuzi cha startimes na nimelipia sh. 12,000. Je, ni...
0 Reactions
2 Replies
757 Views
Klabu ya soka ya Mamelod Sundowns imetwaa ubingwa wa klabu bingwa Afrika baada ya kuifunga klabu ya Zamalek katika mchezo wa marudio uliochezwa nchini Misri. Ikumbukwe Mamelod walisha mchezo wa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya Tambo nyingi mapicha picha ya zile penalty na kuwaletea dharau wale jamaa WA uturuki, Jamaa wakaamua KUSHTAKI kwa mtu wanaemuamini na jirani yao karibu na kwao brother Conte,kilichojiri...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"Mnyama afanya usajili katikati ya ligi".. ndivyo pia waweza kusema.. Na hii ni baada ya ITC ya yule kiungo bora kabisa toka "kwa wanaojua" nchini Kongo.. Mussa Ndusha kupata baraka zote toka TFF...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Chelsea 4 - 0 Manchester United #FotMob Chelsea 4 - 0 Manchester United - FotMob
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimefikiria kwa Umakini jambo hili kwa Umakini na kujiuliza mpaka sasa ni Team Gani ambayo ina Ukuta Mgumu sana mpaka sasa kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara? Ni team gani imefungwa Goa chache sana...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hasheem Thabeet huenda akaanza kuoneka tena kwenye ligi ya NBA baada ya timu kadhaa kuonyesha nia ya kumrejesha tena uwanjani.Hasheem ambaye alikuwa nje ya ligi ya NBA kwa misimu miwili ,aliaamua...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Kiukweli shujaa wetu hali ni tete , kwa kipindi kirefu tangu kuanza msimu huu amekuwa ni wa kusugua benchi tu ! Hata leo kwenye mechi ya ligi ya Uropa anaendelea kuchoma mahindi , kisa ni nini...
4 Reactions
37 Replies
6K Views
Dahhh.... hawajamaa wanashindwa kuziboresha apps zao ama?? Maana meridian kimeo plus m bet shida nini ama wanataka tukajazane kwenye location zao....[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Mmoja raia wa zimbabwe,Mwingine raia wa Burundi Mmoja anachezea Yanga mwingine anachezea Simba ila wote wakiwa kama washambuliaji Pia wote wamesajiliwa kwa pesa kubwa na wote wanapata...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wachezaji wa Wood Fc au Mbao Fc wamelalamika sana kutokana na kufungwa bao dk za majeruh. Wachezaji hao wamelalamika kuwa hawatak tena kucheza na Simba maana wamepata shida sana. Na sasa hawajui...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuph Manji amedai kuwa ujenzi wa uwanja wa mazoezi wa timu hiyo utaanza ndani ya siku 90 baada ya kupewa ridhaa na wanachama. Manji ameyasema hayo leo wakati...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Press Conference Mwenyekiti wa Yanga Bw Yusuf Manji atazungumza na waandishi wa vyombo vya habari vya michezo leo ijumaa 21/10/2016, saa saba na nusu mchana, makao makuu ya club ya Yanga jangwani...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni baada ya kunyakua kiatu cha dhahabu kwa mara ya 3⃣
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Timu yenye Points nyingi 1. Manchester City - 19 2. Arsenal Football - 19 3. Tottenham Hots - 18 Timu zilizoshinda mechi nyingi. 1. Arsenal Football - 6 2. Manchester City - 6 3. Tottenham Hots -...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Asante Pogba kwa kuifanya Man U kuongoza kwenye mauzo ya jezi(jezi zilizouzwa ni milioni moja na laki saba) Asante kwa magoli yako dhidi ya Fenerbahce Asante Onyinye Ndidi(WA GENK) kwa goli tamu...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
Mechi ya majuzi juzi ya Simba na Yanga yaelekekea vizee vya Yanga vilipigwa mswaki au havikupata hata senti tano. Matokeo yake wamezua balaa wakiongozwa na mzee gwiji Akilimali, wakidai kilabu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi Serikali ikibet ikimpa bayern, Madrid, Barcelona, juve, psg, dortmund halafu ikiweka billion 6 si madogo watapat mikopo. Ni timu za uhakika kwenye magroup..kama imeshindikana why tusitumie...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Viwanja tajwa hapo juu ni kati ya viwanja vigumu sana timu ngeni kwenda na kupata matokeo mazuri kipindi Ac Milan,Inter milan na Manchester united zilipokuwa kwenye ubora wao... Imebidi...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wanaJF, Tanzania yetu imeendelea kuwa sikio la kufa lisilo sikia dawa katika masuala ya soka, hii leo shirikisho la soka duniani FIFA limetoa viwango vipya vya ubora wa soka kwa mataifa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…