Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Simba kama kawa kama dawa ni mwendo wa kuteleza tu. Mwenye nguvu aje atutoe pale juu.
7 Reactions
36 Replies
6K Views
Refa aliychezesha mech ya Stand utd na Simba afarik akpelekwa hospital baada ya kuanguka ghafla akiwa nyumba ya wagen.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Siku ya saba sasa mji wa shinyanga umekuwa mtupu baada ya lile tishio la Simba mla watu na vitu kuvamia mkoa huo. Inasemekana wananchi walisha tahadharishwa ujio wa Simba huyo na wengine waliamua...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanajamvi habari za wakati. Naomba kuuliza, hivi Haji Manara na kituo cha radio E-fm wana ugomvi? Haji Manara ndiye msemaji rasmi wa Klabu ya Simba. Binafsi sijawahi kumsikia Malidi Kitenge...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Misimu miwili imepita, mshambuliaji kinda wa Simba, Ibrahim Ajibu Migomba alianza kuonekana na baadaye akawa msaada kwenye kikosi cha Msimbazi. Ajibu ni mchezaji mwenye kipaji hasa, mchezaji...
2 Reactions
0 Replies
720 Views
Klabu ya Barcelona ilitimiza game yake ya 1500 katika beseni la Camp Nou kwa ushindi wa goli wa 1-0 dhidi ya Granada. Katika mechi hio ndipo ikakamilisha mechi ya 1500 tangu kujengwa kwa uwanja...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama kawaida ya watahiniwa kufanya vimbwanga kwenye booklets, tayari wameshamchora Pogba. #Haa haa haa! Ninyi watahiniwa Mungu anawaona
0 Reactions
3 Replies
840 Views
km una GTA IV na upo Dar naomba unisaidie km unahitaji malipo utalipwa
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Tukimjua , huyo ndiye adui mkubwa wa timu yetu . Haiwezekani na wala haitawezekana kuvumilia jambo hili . Kumuacha mchezaji kama huyu na kuchukua galasa kama Kiongera na wengine wa aina hiyo...
4 Reactions
51 Replies
6K Views
BREAKING NEWS Hatimae mohamed dewji(mo) amekubali kuiacha simba ijiendeshe yenyewe ili kutimiza agizo la baraza la michezo.... Hata hivyo itawabidi ungozi wa simba kuitisha mkutano maalumu wa...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Kabla ya yote mimi ni simba damu. Ok, Baada ya Mwigulu kusaidi Kocha wa Yanga kurudi kwenye timu yake yamezuka maneno mengi sana kumtuhumu kwa namna moja ama nyingine. Leo nimemsikia Komredi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Daah deportivo la coruna kanichania mkeka 2milion nimeikosa hv hv
0 Reactions
1 Replies
666 Views
Hello fans! Naomba kujuzwa,Christian ronaldo Ana hotel anayomiliki U.S.A kwa sasa. Je hotel hiyo aliijenga au alinunua kwa mtu au kampuni na kuifanyia marekebisho?
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa Chola amesema kwamba iwapo atapangwa katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu, Simba Oktoba 1, mwaka huu atajenga heshima...
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Wakuu wakati ligi ya VPL ikiendelea ni vyema kuweka kumbukumbu muhimu hasa kuhusu timu inayotajwa kuchukua ubingwa kabla ya ligi kwisha. Simba Sc Mnyama mkubwa Mwendo Kasi 4G amekuwa na rekodi...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika, Issa Hayatou ameteua Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa miongoni mwa wajumbe 11 wa Kamati maalumu ya mageuzi ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
FULL TIME | Yanga 3 - 0 Mbao FC 49' Vicent Boussou (Yanga) 55' Mbuyu Twite (Yanga) 75' Amisi Tambwe (Yanga) KADI Dk 88, Kipa Dida analambwa kadi ya njano kwa kuchelewesha mpira kwa makusudi Dk...
3 Reactions
99 Replies
15K Views
Mwishoni mwa wiki iliyopita zilienea habari katika mitandao ya kijamii kuwa Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa MeTL Group, Mohammed Dewji na Yusuph Manji wote kwa pamoja wamesitisha mipango ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo nimecheza kamari lakini Manchester United lakini naanza kujutia pesa yangu
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…