Nilianza kuishabikia mwaka 2005 kwa ushabiki wangu kwa Ronaldinho Gaucho! Ni club ambayo hata kama nina stress inaweza kunifurahisha na kuniondolea stress zangu.....Katika vitu vitatu Muhimu...
KATIBU Mkuu wa Yanga SC, Charles Boniface Mkwasa leo amemtambulisha Dissmas Ten kuwa Ofisa wa Habari wa nne wa klabu hiyo tangu mwaka 2010, akichukua nafasi ya Jerry Muro anayeondoka baada ya...
Ndugu zangu ninayo mengi ya kusema juu ya ujio wa timu ya Everton inayoshiriki ligi kuu ya England.
Timu zetu zijifunze kuwa hakuna kudharau mashindani ya aina yeyote. Kichuya msuva na wengine...
Azam media official sponsor wa uganda premier league kwa mwaka anatoa 6Billion kama kiasi alicho invest kwenye hiyo sponsorship yake.
mchezaj bora wa mashindano anachukua gari mpya,ambapo kwa...
Duniani kote hata nchi zilizoendelea matukio kama yale yapo. Rooney ni mchezaji mkubwa sana duniani hivyo tukio lile la mahaba na upendo kwa Rooney limetangazwa kwenye luninga duniani kote. Pia...
Ndugu zangu weekend inaendaje..??
Kama kichwa cha habari kinavojieleza kama umemiss match yeyote ya soka kutoka
Vpl
La liga
Premier league
Bundasliga
Serie A
League 1...
Potelea mbali lazima niseme tu!
Mimi ni miongoni wa watu nisioamini katika namna wachezaji wanavyoitwa timu ya taifa, kwa mwendo huu sijui ni ubaguzi au fitina nini?
Kocha anamuita Boko eti kwa...
Ni muda sasa umepita toka taarifa za kikosi cha kwanza cha Everton kutua Dar tayari kukipiga na Gor Mahiya kutoka Kenya kwenye Mechi ya kirafiki itakayofanyika kesho alhamisi tarehe 13/07/2017...
Leo nimeona vitu vya aibu sana uwanja wa Taiga wakati wa kuingia aibu tupu.
Askari Polisi ni kupiga watu,mistari mirefu ya kuingia na watu wanaingia kama vile wanaaga Maiti.
Mageti ya kuingia ni...
Naangalia game ya Timu ya Gor-Mahia ya Kenya dhidi ya Timu kali ya Everton kutoka Uingereza kupitia EATV hapa kwenye uwanja wa maonesho wa sabasaba , Hakika mna kila sababu ya kutembea kifua...
Chelsea wako katika hatua za mwisho za Kimsajili kitasa kutoka Roma Antonio Rudiger kwa Ada ya Pauni Million 34. Sababu moja wapo kubwa ya beki huyo wa kijerumani ni kwamba amepatwa na majanga ya...
Johanna Konta has failed in her bid to become the first British woman to reach the Wimbledon final since Virginia Wade won in 1977. Konta lost to her childhood idol and five-time Wimbledon...
Toa sifa za Wagombea na useme kwanini unadhani wanafaa.
Huyu Hapa Shija R Shija 'MSHUA'
KWANINI SHIJA R SHIJA 'MSHUA' AWE RAIS WA TFF?
Soka la Bongo linanuka rushwa
He is a Solution
Soka la...