Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Msemaji wa timu ya soka ya Simba Haji S. Manara, amesema kwamba anaamini kuwa siku moja ndoto yake ya kuwa Rais wa Tanzania itakuja timia, kwani ndio tamanio lake la siku nyingi. Akizungumza...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
KIKOSI CHA YANGA LEO 1. Youthe Rostand 2. Hassani Kessy 3. Haji Mwinyi 4. Abdallah Shaibu 5. Kelvin Yondani 6. Papi Tshishimbi 7. Yusuph Mhilu 8. Thabani Kamusoko 9. Obrey Chirwa 10. Raphael...
10 Reactions
275 Replies
25K Views
Mabingwa mara 27 Tz na mabingwa mara 3 mfulilizo,Yanga leo imeweza kufuzu katika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho,japokuwa tumefungwa 1-0, lakini ushindi wa nyumba wa goli 2-0 umekuwa na...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii pesa ambayo ndugu zangu Yanga wataipata. Mwaka 2013, ulikuwa ni mshahara anaolipwa Yahya Toure kwa week pale man city. Kweli Africa ina safari ndefu kuja kufanikiwa ktk kombe la dunia.
1 Reactions
2 Replies
915 Views
Wakuu habari zenu? kumekukuwa na utaratibu kila week Baada ya michezo ya mechi za uefa kuwepo na goli bora Week iliyopita tulishuhudia mechi za robo fainali. Baada ya mechi hizo uefa wanetoa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu? UEFA Champions League msimu wa 2017/2018 kila week Baada ya mechi kuchezwa walikuwa wanatoa Mchezaji bora wa week kwa timu zote zilizocheza hiyo raundi Wafuatao ndio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada jamani nimesahau password za premier bet nataka kurudisha account yangu ilele kwa anae jua anielekeze
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wachezaji watano wa klabu ya Manchester City wametajwa katika kikosi bora cha ligi kuu ya nchi ya Uingereza(Professional Footballers' Association Players' team of the year). Viungo Kevin de...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Yanga kesho saa kumi jioni tunakipiga na Wollaita Dicha ya Ethiopia ktk uwanja wa Hawassa City,baada ushindi wa 2-0 katika uwanja wa taifa bila kuwa na wachezaji wetu muhimu Tshishimbi,Chirwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tangu kuondoka kwa malinzi tff Yanga aijawai kuongoza ligi ya vpl [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
0 Reactions
17 Replies
2K Views
LIGI YETU HAIKO FAIR. Simba & Yanga ni team ambazo kuchukua ubingwa wa VPL zinabadilishana tu ukiwa na upenzi bila jicho la tatu utasema wana deserve na wanavikosi bora . Lakini kwa jicho la...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Nyota wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva usiku wa jana ameibuka shujaa wa timu yake ya Difaa Hassan El Jadida, baada ya kufunga mabao mawili ambayo yaliisadia kutoa sare ya 3-3 ugenini katika...
5 Reactions
21 Replies
5K Views
Ahsante sana Perez ukishindwa kutongoza wewe nunua malaya tu Hala uefadrid
8 Reactions
29 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa wachambuzi wa soka , Kocha bora ni yule anayeweza kuwapa mbinu za ushindi wachezaji alionao bila kutegemea fungu kubwa ili kunununua wachezaji bora wa dunia , kocha anayeweza ku -...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mlio uwanjani au karibu na media tupeni updates
3 Reactions
176 Replies
15K Views
Baada ya kutazama mechi mbili yaani CSKA Moscow vs Arsenal FC (Luzhnik Stadium) na Olympique de Marseille vs RB Leipzig (Stade Vellodrome) na kuona jinsi gani mfuasi wa soka anavyoweza kufika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Timu ya taifa ya Zanzibar ‘Karume Boys’ imeondolewa katika mashindano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, yanayoendelea kutimua vumbi Burundi kutokana kuchezesha wachezaji 12 waliozidi umri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Maafisa wa timu ya Cameroon inayoshiriki michezo ya Jumuiya ya Madola inayoendelea Australia wamesema wanamichezo watano kutoka kambi yao wametoweka. Wanyanyua vyuma watatu na mabondia wawili...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Patashika ya ligi kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL kuendelea leo tena uwanja wa Taifa, ambapo Simba SC vinara wa ligi hiyo wakiwakaribisha Tanzania Prisons kutoka mkoani Mbeya...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…