Goli la mo salah dhidi ya man city ndio goli bora la week limelishinda goli la ronaldo la bicycle kick

Ladder 49

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
7,416
18,856
Wakuu habari zenu?
kumekukuwa na utaratibu kila week Baada ya michezo ya mechi za uefa kuwepo na goli bora

Week iliyopita tulishuhudia mechi za robo fainali.

Baada ya mechi hizo uefa wanetoa mshindi wa goli bora

Mo salah ameibuka kinara goli lake dhidi ya man city ndio goli bora.

Hizo chini hapo ni kura walizopata wachezaji.

IMG_2554.JPG

IMG_2555.JPG

IMG_2556.JPG

IMG_2557.JPG

IMG_2558.JPG

Nawasilisha.
 
Ubaya wa kuwapa mashabiki uhuru wa kuchagua. Sadio Mane alishinda tuzo ya mchezaji bora wa week pia kwa kura za mashabiki wa Liverpool.

Kwenye ushindani wowote unaohusisha mashabiki kupiga kura mashabiki w Liverpool wapo active sana na huwa wanapiga kura kwa wingi sana.
 
Salaa mwakani njoo man u ...liver si hadhi yako
Man u Ina cha nini cha maana kuisifia Liverpool? Uefa man u 3 liver Tano na ya mwaka huu ya sita,Premier ligi man u 20,liver 18.Achana na Europa na FA.Au mkuu imeanza kufuatilia mpira 2013 alipostaafu Sir Ferguson?
 
Ukijumlisha idadi ya vikombe kwa ujumla wake man u kamzidi liver
 
Sometime hizi ndizo hasara za Democracy (maana ni kutokana na kura za watu) ila kiukweli Goli la Ronaldo lilifaa kuwa namba moja.
Hayo ni maoni yako na walio ona goli la Salah ndio goli bora la wiki nao ni maoani yao,kama goli la Salah ndio limechaguliwa kua goli bora la wiki basi huwezi pindisha matokeo,huna budi kukubaliana na mawazo ya wengi,

Mo Salah ni moto na yupo on fire,anajituma uwanjani,hakukaa tu golini na kuvizia mipira kama bwana yule!
 
Alivyochop tu vile ule mpira kuna ubora gani ?
 
Back
Top Bottom