Wachambuzi wanahoji kuhusu jezi mpya za Simba kuchelewa kutoka mpaka Simba day ikikaribia na jezi bado hazijatoka.
Wakati Yanga wanaanza msimu na kucheza mechi ya ligi msimu mpya na jezi ya zamani...
Daah kama kichwa kilivyo hapo juu kuna mdau mmoja wa kolo fc anajitetea eti sababu ya kuchelewa kwa uzi wao ni sababu ya vita vya Ukraine vs Russian.
Et jamani ni kweli nyie makolo?
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameipongeza Yanga kumualika Kocha mkubwa Afrika Pitso Mosimane na kwamba amesikia Simba nao wamemualika Rais wa CAF kwenye siku yao ya...
DUA KWA VIJANA WETU
Leo Jumamosi Agosti 6, 2022 Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza, wakati mabondia...
Vita ya kutumia akili, kasi, uvumilivu na nguvu sasa imeshika kasi ambapo mabondia 19 wa Afrika wameingia hatua ya nusu fainali ya mashindano ya ndondi ya Michezo ya Jumuiya ya Madola, Jumamosi...
Namkumbuka huyu mwamba kuanzia miaka ya 2002 ,wengi wetu huenda walikuwa wadogo kabisa,,juma k juma,Tanzania one,huyu jamaa amecheza na wachezaji wengi ambao Leo ukiwaona ni wazee,,wakati beki ni...
Watu wa Soka,
Jana Agosti 4 katika Siku yetu maalum ya BIG DAY tulicheza mechi ya kirafiki na klabu ya Zanaco FC kutoka Zambia na tukaibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri (1-0) katika dimba...
Wakuu.
Naumizwa sana na klabu kubwa namba moja africa yenye mataji lukuki ya kimataifa ikiwemo CAFCL. Kuzidi kuporomoka namna hii na kukosa ushawishi kabisa kwanzia uwanjani mpaka nje ya...
watu tunasubiri habazi za manzoki mara yanakuja haya tena, mzungu akifika estadio de manungu au estadio de nyankumbu primary schoool geita si atatoa machozi ya damu?
Huo muda wa mwalimu kumuona...
Agh, I never saw this coming. THE GREATEST HAJJ MANARA kawapiga watu chenga ya mwaka na atakayejaribu kumgusa itakuwa mwisho wake kushikilia cheo hapo TFF.........KIVIPI
Intelejensia ya...
Mikakati mibovu ya Filbert Bayi yakamilika baada ya TOC kumtangaza Thomas Tlanka (kinyume na maamuzi ya Kamati Tendaji) kuwa kocha wa timu ya riadha ya Tokyo. Amekuwa akitumia ukabila kwenye teuzi...
Mabondia wawili wa Tanzania Yusuf Changarawe na Kassim Mbundwike wameingia robo fainali za mchezo ya Jumuiya ya Madola inayoanza rasmi leo jijini Birmingham, Uingereza.
Bondia wa tatu wa...
Mpaka hapa ninavyoandika, jezi ya Yanga haijulikani na wanafungua msimu kwa kucheza na Prisons baadae usiku kwa Mkapa. Je, mashabiki wenzangu wa Yanga mnalichukuliaje suala hili?
Struggle is real my friend, hali ikienda hivi inabidi wafanye kale ka mchezo cha last year kuingiza watu bure siku husika yaani kesho kwa sababu hakuna namna
Tarehe 04.08.2022 ilikuwa ni siku ya maadhimisho ya Singida big star, katika siku hiyo ilicheza mchezo wa kirafiki na timu toka Zambia - Zanaco Fc.
Baada ya siku hiyo kumezuka maneno na vijembe...
Ni vigumu sana mchezaji mzuri kutoka utopolo au kinye FC kufanya vizuri akihamia Simba hasa kwa mechi za ndani.
Hii si bahati mbaya ama wao wanavyoita eti mikosi. Huu ni utaratibu wa vizee fulani...
Kumsaidia Haji ni kumuambia UKWELI pale anapokosea tu, wanaomzunguka HAWAMPENDI kwakuwa hawawezi kumuambia ukweli mchungu ambao ni tiba kwa tabia zake.
Tunaoonekana hatumpendi ndio kiuhalisia...