Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimesikia hii habari ikitolewa na Mtangazaji wa E-FM, Abdulrazack Maji akisema jana aliona mageti hakifunguliwa ili mashabiki waingie bure Hii ni AIBUUUUU
2 Reactions
9 Replies
840 Views
Klabu ya Manchester United imeanza mazungumzo na Bayern Munich kwa nia ya kumsajili winga wa timu hiyo, Leroy Sane. Sane bado ana mkataba wa miaka mitatu na Bayern Munich ambayo taarifa kutoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tukio lililotokezea hivi karibuni kwa Mmilikiwa Club ya Napoli nchini Italia kuzungumzia kuwa kwa sasa hatapendelea tena kusajili wachezaji kutoka Africa kwa sababu ya kuwa wamekua wakim cost sana...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Nachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Poor rational thinking, mhandisi kahawa na mwanasheria kishoka. Tunakabidhi timu kwa watu tunaoamini ni wasomi na wenye kusimamia maadili halafu matokeo yake unashindwa kusimamia na utaratibu na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa kweli tumehuzunishwa sana na kauli ya Morrison tena mbele ya Jukwaa la Wiki ya Mwananchi. Kutuumbua kwa kusema hatuelewi anachoogea
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Hongereni Makolo. Naona Uzi ni mkali. Ila bado hamjafikiaa level za. ubunifu za Mabingwa wa mara zote wa LigiKUU Tanzania Bara.
3 Reactions
29 Replies
3K Views
*Hivi umeshawahi kushuhudia CAF wakijishughulisha na mashindano ya Kagame Cup, jibu ni hapana, na sababu ni moja tu, kwamba CAF kama baba wa Mpira Afrika hawayatambui mashindano hayo. *Hivi kwani...
3 Reactions
9 Replies
810 Views
Kwa muda mrefu sana katibu Mkuu wa chama cha soka amekuwa akimtumia The Voice of Voiceless kufikisha ujumbe au kile kitakacho tokea hususani katika maamuzi au kuwaanda watu kisaikoloji kinachokuja...
1 Reactions
6 Replies
711 Views
FT Yanga 1 - 2 Zanaco Soka sio kipompipompi, soka sio makelele midomo mirefu..Soka ni mipango. Huu ni mwanzo tu. Nawaambia kabla ya TPL kuanza mtakuwa nje CAFCL. Kwa wale wasiofahamu ni kwamba...
31 Reactions
87 Replies
10K Views
Nani kama wewe Mkuu wa Kazi, umesimama imara ktk kuhakikisha mpira wa Tanzania haujinasiwi na makanjanja ... Katika awamu yako tumeshuhudia timu za taifa mbalimbali zikifanya vizuri, tumefuzu...
1 Reactions
1 Replies
621 Views
Bofya Hapa Kumsikiliza... Njaa zinabadili upepo wa Riadha Mwanariadha wa Mbio za uwanjani, Mita 5000 ( Track and Field) Faraja Lazaro, ameshauri wahusika wa Riadha, wawekeze kwenye mashindano ya...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Mpira umekuwa Biashara kubwa sana Duniani, ukitoa biashara ya mafuta, gas, Madini na silaha, mpira ni moja ya Biashara kubwa, ni hatari kukabidhi timu wahuni, wasio jua thamani ya dhamana...
3 Reactions
9 Replies
818 Views
GENTAMYCINE leo nataka niiangalie Klabu inayojua Kusajili Wachezaji wa maana, wenye Afya, wanaojitambua, wenye Uwezo na Mafundi Watupu wa Yanga SC na siyo wa Timu zingine ambazo Wachezaji wao Afya...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari ndugu Wana JF, Kutokana na uchambuzi wangu, ufuatiliaji, na references mbalimbali kutoka kwa wachambuzi, vyombo vya habari imethibitika Mayele mmoja sawa na kikosi chote cha Simba + benchi...
7 Reactions
145 Replies
6K Views
Mdogo wangu mtangazaji, najua mmecheka sana mimi kukandwa Naomba utambue kua kukandwa ni jambo la kawaida sana kwenye mchezo wa soka Mdogo wangu mtangazaji, kama unadhani mchezo wa soka ni...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
mnasahau mapema mnoo
0 Reactions
7 Replies
907 Views
Habari za uhakika zinasema Haji Manara ataitwa katika kamati ya maadili kujibu ni kwa Nini alidharau maamuzi ya kamati na kwa Nini asifungiwe kutojihusisha na soka maisha
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ile kiu ya mashabiki wa simba juu ya uzi wao mpya watakao utumia msimu huu kitendawili sasa kimeteguliwa. Leo saa tano asubuhi jezi zitazinduliwa kaa mkao wa kula.#we...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Joyce Lomalisa full back ya kushoto ana balaaa. Nyutiiii nyutiiiii
0 Reactions
6 Replies
826 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…