Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hongereni M bet kwa kufanya nembo yenu ing'ae kwa kuamua kuchora picha za radi jezi yote ya simba Jezi zina muundo wa kike sana, Au simba wanaume mambo yenu sio haba? Mmezoea Mombasa wana simba...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Bondia Yusuf Changalawe amemtoa kwa TKO, Arthur Lingelier kutoka Visiwa vya St Lucia na kutinga Nusu Fainali katika michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham Nchini Uingereza. Kutokana na...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kocha mkuu wa mabingwa watetezi wa NBC premier league inaelezwa kuwa mkataba wake umekwisha. Habari zinasema kuwa, Nabi amegoma kusaini mkataba mpya na mabingwa hao wa NBC kwani amepata mkataba...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Hakuna kitu kibaya katika team kama kumfanya mchezaji mmoja kuwa special, na cha kushukuru ni kwamba wale wacongo watatu wameongezewa mkataba na pesa la sivyo. Anyway yule kijana toka Ogadougou...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Closed
Klabu ya Simba Leo itacheza mchezo wa kirafiki na wanakwaya wa kanisa la mtakatifu George kutoka nchini Ethiopia, st George ni kwaya maarufu sana pale Ethiopia ila sikutarajia kabisa klabu ya...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
UONGO [emoji23][emoji23] Ila viongozi wa hii timu ni janja janja sana aisee khaa. Oky.. Tulijua tu haya lazima yatatokea.. Waambieni ukweli mashabiki zenu acheni Porojo.. MO kaweka hisa Bilion...
4 Reactions
91 Replies
5K Views
Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku. Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi...
10 Reactions
84 Replies
6K Views
Ukubwa wa hii klabu unapimwa na idadi ya wafuatiliaji ndani ya nchi. Haijalishi klabu iko kwenye hali gani ya kiuchumi, hii nafasi maara zote imekuwa ikitawaliwa na maabingwa mata zote wa ligi...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za weekend wakuu, Mashabiki wa yanga poleni sana ndo mpira na wale wa simba msishangilie sana maana kesho lolote linaweza kutokea pale taifa mungu atupe afya njema tufike tushuhudie siku...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Episodes za sope takadini zinaendelea, ama kwa hakika ni burudani juu ya burudani,msione watu wana mafuvu jamani mengine hayajahifadhi akili, ni makasha ya kuhifadhia meno ambayo kwa bahati mbaya...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
"Tunaomba sababu ni kwanini katika Tamasha letu la Citizens Beauty Beauty Day hakuna hata Kiongozi Mmoja wa TFF aliyekuja. TFF inatunyanyasa mno na ina Chuki na Sisi" wamesema Wasio na Akili FC...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Mweny taarifa anpe ili nijiandae kushuhudia vyuma vipya vinanolewa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hapa namkumbuka Tanzania One, Mohammed Mwameja (golikipa) na mfadhili Wa timu Azim Dewji aliyevaa nguo nyeupe (mwenye asili ya kiasia)
0 Reactions
1 Replies
349 Views
Haya haya mambo ni mengi muda ni mchache caf champions league hatua ya awali itafanyika mapema mwezi huu. Ikumbukwe kuwa Yanga sc ni miongoni mwa timu zitajazoanzia hatua ya awali, huku Azam...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kama majitu yanaweza kuhesabia ngao ya hisani kwamba ni kombe na wanasema wameshinda treble watshindwa nini kuongea uongo mkubwa zaidi? NYIE WAJINGA, JOSEPH OMOG KOCHA WA ZAMANI WA SIMBA, AZAM NA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tulifanya maombi ya nguvu kuombea njaa Orlando pirates, Etoile du sahel zifeli na against all odds zikafeli mambo yakatarajiwa kwamba simba itaingia kwenye favour ya zile teams 10 kuanzia round ya...
0 Reactions
6 Replies
959 Views
Ni watu gani wanaweza kuitwa na kamati ya TFF? Hivi kwa sasa Haji Manara kimpira si raia wa kawaida? Raia wa kawaida anaweza hukumiwa na kamati ya maadili ya TFF?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau Kama mnavyojua ligi mbalimbali zimeanza na Kama kawaida yetu wazee wakubeti niwakati wetu wakumpiga mhindi. Sasa nahitaji kampuni ambalo Lina mabonasi kibao na maods makubwa nimepita huko...
1 Reactions
2 Replies
584 Views
Shirikisho la soka hapa nchini almaarufu kama TFF linaratibu, kuongoza na kusimamia soka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. CAF ni kwa Afrika nzima na FIFA ni kwa dunia. TFF inatekeleza...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
TFF na bodi ya ligi wanajificha kwenye kanuni na vijisheria kandamizi. kutisha na kufungia fungia watu hovyo., Hawajui demokrasia na uhuru wa maoni. Siraha Yao ipo kwenye kanuni na fungia fungia...
0 Reactions
4 Replies
651 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…