Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Salah aliweza kuivunja ile rekodi ya goli 31 ya Premier League na kuweka ya kwake ya goli 32 huku akiwa kama winga tena kutoka Afrika, nilitamani hii rekodi ikae kidogo kwa heshima ya Afrika...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa wanaojua mpira vizuri watakubaliana na mimi ila wale wabishi watabisha kwasababu Xavi ni kocha wa Barcelona kwa hiyo wao wanamuona ni kocha bora zaidi ya Nabi. Tactics za Xavi ni za kizamani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mchezaji wa Simba, Dejan Georgejevic kupitia akaunti yake ya Instagram amesema mkataba wake umevunjwa kuitumikia klabu hiyo. Na kama leo hii ( hasa CEO ) Barbara Gonzalez uliyemleta huyu Mzungu...
15 Reactions
25 Replies
3K Views
Tofauti na mitazamo watu "Nikwambie ukweli kabisa kutoka moyoni mwangu jezi za Yanga kweli zinatembea, hasa jezi za njano na nyeusi. Jezi za Simba hazitembei kabisa kama jezi za kijani za Yanga...
15 Reactions
54 Replies
4K Views
Sasa ni Rasmi Manara ni Ashura cheupe 🤣🤣 Hivi ile kauli ya kuwa pale Yanga sc wenye akili ni wawili ina ukweli wowote?
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Tanzania ushabiki wa mpira uko juu sana kuliko nchi nyingine zinazotuzunguuka kutokana na aina yetu ya kutaniana kwa kucharurana bila kupigana kati ya Simba na Yanga. Timu hizi ziko hivyo tangu...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimemtazama huyu kiberenge toka DRC, lazima nimeona jamaa kachuja. Sijui kule RS Berkane jamaa wana shida gani na vipaji vya Kusini mwa Jangwa la Sahara hasa ukanda wetu huu? Sijui wadau mna...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Jamani hii team yetu ya taifa ya Mpira wa miguu kwa watu wenye ulemavu inafanya vizuri sana huko kombe la dunia nchini Uturuki. Wadau tusiwachukulie poa hawa vijana waliojitoa pamoja na ulemavu...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2006 nchini Ujerumani, mechi kati ya Ufaransa na Korea kusini iliisha kwa sare ya 1-1. Mechi hii ilichezwa katika uwanja wa timu ya RB Leipzing (Leipzing...
2 Reactions
7 Replies
936 Views
Mwanaume mwenye umri wa miaka 36 alifariki baada ya kuzimia alipokuwa akikimbia mbio za London Marathon, waandalizi wamethibitisha. Mwanamume huyo, kutoka kusini-mashariki mwa Uingereza, aliugua...
1 Reactions
1 Replies
894 Views
Kila siku mkiambiwa kwamba Hersi ana maamuzi ya ki pwagu mnakasirika, hivi unadhani wana yanga ni wajingawajinga? Jenerali Bugatti alikuwa sahihi sana kukataa kumpa mkono huyu kijana mnafiki kule...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Hawa wachambuzi uchwara wa soka wa bongo wanakera sana! Wanaongozwa na unazi/ushabiki badala ya weledi wa soka. Mtu hujawahi kucheza soka kabisa hata ngazi ya daraja la tatu utawezaje kuchambua...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za ndani kabisa nimepenyezewa kutoka kwa mdau wa masumbwi huko Uingereza! Uchunguzi uliofanywa na bodi ya ngumi kutoka Uingereza umebaini kwamba; 1. Mwakinyo Alidanganya "cheat" ...
27 Reactions
86 Replies
8K Views
Kwanini? Mechi ijayo ya CAFCL ni muhimu na ngumu kwa Yanga SC na kwa Asili ya mpira wa 'Kazi Kazi na Gwaride' wa Ruvu Shooting FC huenda wote au mmoja wao akaumia na kuigharimu Yanga SC ikicheza...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kombe la dunia 2022 nchini Qatar lipo njiani. Zikiwa zimebaki siku 47 tu kipenga cha kwanza kupulizwa wachezaji wenye timu zao zilizofuzu kushindania kombe hilo kuanza kupimana nguvu. Ni mtanange...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo mchana niliona tweet kwenye page ya Al Hilal kwamba maofisa wake WATATU wanakuja Dar es Salaam kuweka mazingira sawa, nilisahau ku i capture na usiku huu siioni, nafikiri ipo deleted...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Naomba kuuliza Amri Kiemba kahama Clouds au maana namuona Azam TV hapa?
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Baada ya watu 174 kufariki na 180 kujeruhiwa Nchini Indonesia, juzi Oktoba 2, 2022 matukio mengine ndani ya miaka 40 iliyopita ni: Cameroon watu 8, (2022), Misri watu 73 (Februari 2012), Ivory...
0 Reactions
1 Replies
944 Views
kama kweli Nelson Okwa anaondoka dirisha dogo (sitajali kwa kweli, Dilunga anakiwasha zaidi yake), hakikisheni nyie viongozi pia mnatoa huyo Akpan kwa mkopo, arudi huko Coastal Union. Hizo nafasi...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…