Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Naanza kwa kurejea mechi ya Yanga na Azam, hii mechi ilionesha wazi kuwa kuna rushwa kwa waamuzi. Mpira kuna kipind ulitoka nje kabisa halafu mchezaji wa Yanga akakimbilia na kuurejesha uwanjani...
11 Reactions
7 Replies
737 Views
Wakuu, Moja ya kitu kinachoturudisha nyuma ni kupuuza historia. Historia ni mwalimu mzuri unapokuwa katika tafakari ya wapi unaelekea. Nafahamu humu wapo wakongwe waliofuatilia soka muda mrefu...
13 Reactions
26 Replies
7K Views
Simba anashinda ugenini kwa goli tatu moja dhidi ya De Agosto. Magoli ya Chama kiungo konokono (kwa mujibu wa Tate mkuu)[emoji2957][emoji2957], kwa pasi ya Okrah, Israh kwa pasi ya Kanoute, na la...
2 Reactions
3 Replies
750 Views
Naona mbwembwe za mashabiki wa simba na wengine wanadai kuwa al hilal Atamtowa yanga Kwa akili yenu kabisa mnafikiri al hilal wana mpira gani wa ajabu wa kuwatowa yanga? Ninyi subiri tu mayele...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna changamoto kubwa kwa wachezaji wa Tanzania. Wanakuwa na spidi ndogo sana uwanjani pia wana spidi ndogo ya maamuzi. Bila kusahau makosa katika kukaba, kutoa pasi/cross na kumalizia magoli...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Michezo inaendeleza Biashara ya watu Kwenye michezo sahivi ni pesa kwanza, maana yake biashara, watu wanauzwa na kununuliwa kama bidhaa mithili ya ilivyokuwa kwenye zama za utumwa miaka ile. Timu...
1 Reactions
3 Replies
546 Views
Vikao vyote tulivyokaa takribani mwezi mzima sote kwa pamoja tulikubaliana kuwa, hawa Wasudani bado wanajitafuta hivyo tutawapiga kama ngoma. Sasa nini kimetokea? "IWE MVUA IWE JUA SUDANI HAWATOKI!"
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mastaa hawa wawili kutoka Hispania wamejitangaza hadharani kuwa wao ni vyakula vya wahuni, lol.[emoji26][emoji26][emoji26] Kwao wanaona ni sawa ila dah, hawa wamezingua sana bora wangepiga kimya tuu.
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kila mtu anajua kwamba kwa afrika nzima hakuna nchi yenye wachambuzi wanaojua kuchambua issues mbalmbali kwa ufasaha kama wanaopatikana Tanzania Ni ma pundits haswa yametulia kwelikweli, yamesoma...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu. Faini hiyo...
8 Reactions
68 Replies
6K Views
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 41 aliichezea Manchester United zaidi ya mara 300 baada ya kujiunga na klabu hiyo akitokea Tottenham Hotspur. Alishinda mataji kadhaa ya Ligi ya Premia na vile...
3 Reactions
5 Replies
918 Views
Jana nilimwambia mke wangu Yanga atashinda 3- 1 dhidi ya Al hilal sasa ni 1-1 na mchezo bado unaendelea. Japo mimi Simba lakini kwnye michezo ya kimataifa navaa uzalendo haijalishi nini!
1 Reactions
8 Replies
704 Views
Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza. Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na...
20 Reactions
53 Replies
3K Views
Nimeona baadhi ya mashabiki wa Yanga na wengine wa upande wa pili wakiwaponda Yanga kwamba tayari wametolewa kwenye mashindano na Al hilal. Mpira hauko hivyo waungwana, bado Yanga anayo nafasi ya...
13 Reactions
21 Replies
2K Views
Habarini Wanajangwani wenzangu. Tunajenga kikosi cha aina gani!? Kwanini kimataifa kila siku iwe kilio kwetu!? Hapana. Tunahitaji mabadiliko ndani ya klabu yetu, kuanzia uongozi, wachezaji mpaka...
24 Reactions
174 Replies
8K Views
Full time Anakosaaaaaa, kipa wa Azam FC anapangua penati. 90' Al Akhdar wanapata penati. 87' Shambulizi la Al Akhdar mpira unagonga nguzo. 63' Wenyeji wanamiliki mpira na kufanya mashambulizi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Namba 1 - Mshery Walinzi Job Bangala Baka Katikati Fei toto Aucho Zawadi mauya Djuma Shaban Lomalisa Mbele Mayele Makambo Kwanini nimeweka katikati wachezaji wa 5? Kwasababu kule kwao...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Kama unaangalia mpira vizuri hawa wawili uchezaji wao hauna tofauti sana, ila Haaland anamzidi Mayele finishing tu. Mayele tayari anajua kujiweka kama Haaland, ila ana matatizo ya umaliziaji tu...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Mimi kwa upande wangu naweza nikachambua kama ifutavyo: - Kipindi cha kwanza Al-Hilal waiingia na mpango wa mchezo wa kuilazimisha Yanga icheze mpira wa taratibu, na Yanga waliwezwa sana! Maana...
8 Reactions
66 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…