Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Muda wa KUJIAJILI SIJUI ITAKUWAJE BAADA YA KOMBE LA DUNIA... (AU NDIO MKATABA WA MILELE WATU KUFANYIA KAZI NYUMBANI) Serikali ya Qatar imesema wafanyakazi wa serikali wa nchi hiyo watalazimika...
1 Reactions
0 Replies
603 Views
Amani iwe nanyi Katika siku za hivi karibuni mara baada ya Simba kumteua Master Guardiola Mgunda, nimeweza kugundua masuala kadhaa! Ungana nami uweze kuyajua mambo hayo. 1. Mzamiru amezaliwa...
25 Reactions
18 Replies
3K Views
Baada ya kimya cha muda mrefu kilichomfanya bondia wa Tanzania ambaye kwa sasa anaishi Marekani, Hassan Mwakinyo kupoteza baadhi ya mikanda, bondia huyo atarejea ulingoni Septemba 3, 2022. Hassan...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari za wikiendi mashabiki wa soka wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla na hongera kwa wana Lunyasi kwa kuwakilisha taifa na kutuheshimisha kama nchi. Ila ndugu zetu hawakujiandaa na haya...
14 Reactions
46 Replies
3K Views
Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola. Hili kanihakikishia hasa baada ya...
5 Reactions
88 Replies
7K Views
Nimeona watu wanaleta ushahidi wa mechi dhidi ya Namungo ambayo wachezaji 8 bora wa Premeiro D'Agosto walizuiwa kucheza kwa "Mizengwe" ya UVIKO 19. Hata baada ya kufungwa 6-2 pale Chamazi ambako...
1 Reactions
4 Replies
994 Views
Jana Al hilal wamepigwa 3 : 0 na timu ya watoto wa academy ya Tp Mazembe. Ikumbukwe tu hawa Al Hilal ndiyo waliwapiga makolo kimoja cha nguruwe.
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Popote ulipo nakupa pole Rais wetu kwa mapambano unayopitia katika kutetea chapa ya Yanga. Kufeli kwetu katika mambo mbalimbali yaihusishayo klabu yetu tatizo kubwa ni hawa machawa wako...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi. Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
0 Reactions
4 Replies
835 Views
Unajua kinacho felisha yanga kimataifa ni kudanganyika na uwezo wao wa league ya ndani. Mda mwingi wanatumia kuaminisha mashabiki wao kuwa wao wanaweza Kuliko kukaa chini kutafakari jinsi gani ya...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii timu ni ya majungu, umbea na propaganda nyingi. Huwezi kushinda mechi za kimataifa kisa wachambuzi wamekusifu. Huwezi shinda kwa sababu haya ni mashindano ya kweli, achana na hapa ndani...
5 Reactions
16 Replies
793 Views
Mimi ni shabiki wa Mayele sana na kuna nyuzi zangu nyingi namsifu na kumtetea sana, lakini ukweli ni kwamba mechi ya jana Mayele ndiyo alikosesha wenzake magoli mengi ya wazi. Anapenda sifa sana...
0 Reactions
6 Replies
799 Views
Wadau huduma ya Mgunda tumeiona na inamatokeo ambayo ni chanya. Mimi napendekeza kama ana vigezo awe Kocha Mkuu wa Simba Sport Club. Wataalam mnasemaje?
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Nikiwa katika mihangaiko yangu tu ya hapa mjini, nikapita katika vijiwe viwili tofauti vya mashabiki wa Yanga SC, niligundua kumbe ni kweli jana mashabiki wengi waliamini Msudan angekufa kwa...
1 Reactions
16 Replies
991 Views
Timu ya yanga kimataifa siyo kama Simba. Yanga kwenye uongozi wa leo wanaushamba fulani au ulimbukeni na wakiwa na akili hizo tutegemee anguko kwenye klabu. Viongozi wa Yanga kimataifa hawawezi...
0 Reactions
5 Replies
769 Views
Kawaida yetu watanzania ni fitina, chuki, husda na unafiki. Leo najitia katika sifa hizo. Simba mmeonesha kitu ambacho Yanga tunapaswa pia kuiga. Najua Yanga wenzangu hili litawakera. Acha mi...
14 Reactions
17 Replies
2K Views
Hebu ona hii Tumewekeza kuliko Al Hilal. Manara kaja na siri ya ushindi wa Simba. Raha yetu kuwafunga Simba. Nabi: Mechi za kirafiki za kimataifa kwetu hazina kipaumbele. Tathmini: Mwenye akili...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu. Lile jitu linalokesha kusambaza habari za...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Kabla ya yote mnaonaje mechi inayofata Simba aende Sudan kucheza na Al Hilal alafu hawa jamaa wabaki hapa kucheza na Agosto? Ngoja nikujuze, kimataifa mbinu zinatawala siyo manguvu na kukamia...
9 Reactions
5 Replies
938 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…