Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ukiunganisha matukio, kuna haja ya kuchunguza hili suala kwa mapana. Mengi yamejifunika
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Beki wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ujerumani, Antonio Rudiger ameanza kampeni za mashindano ya kombe la dunia kwa staili ya kipekee, baada ya kuagiza fedha zote atakazolipwa Kombe la Dunia...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Kagera Sugar na Yanga Sports Club utakaochezwa saa 10 jioni Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Huu ni mchezo wa namba 46 (kama...
4 Reactions
296 Replies
20K Views
Kulikuwa na wimbi la kuziumiza baadhi ya timu na kuzinufaisha Simba na Yanga pekee, sasa nawapongeza waamuzi kwa kusawazisha mzani. Kama ni kubeba tuwabebe wote, kama siku hizi mnavyotupa penati...
3 Reactions
8 Replies
553 Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa (katikati) akirusha mpira juu kuashiria kuanza kwa mchezo wa fainali kati ya Dar es salaam na Unguja (Wanawake) wa mashindano ya CRDB Bank...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi sio mgeni na soka la nchi hii, nazijua siasa zake vzr kwa sababu nimeanza kwenda uwanja miaka 1989, kwahiyo hakuna mtu anaenisumbua kwa siasa za soka hapa bongo had shirki. Ni kwamba...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Watu wenye uelewa mdogo na masuala ya utawala wanapotosha mambo, siyo kwamba wametumwa hapana, shule ni ndogo sana. Mwarami Mohamed alikuwa Kocha wa Makipa wa Taifa Stars, wakati huo kocha akiwa...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Makolo hawapo povu ruksa
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Muda huu kuna press ya kutoka club kubwa kongwe Tanzania, aka mabingwa wa kwanza baada ya Uhuru wa Tanganyika. Inavyohisiwa ni kusafisha Hali ya hewaa kwani wingu limetandwa na rainbow. Sisi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) inatarajiwa kufanya uchaguzi Novemba 27 mwaka huu jijini Dodoma, nafasi zinazowaniwa ni Makamu wa Rais na Mjumbe wa Kamati Tendaji Kanda ya Pwani, ambazo...
0 Reactions
1 Replies
602 Views
MUHIMUL Hauhusiani ni unga Je kocha akiwekwa kwa muda sio muajiriwa wa klabu?
0 Reactions
1 Replies
599 Views
Leo tunaadhimisha kuasisiwa kwa jina la mbumbumbu kwa wahusika Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Mwenye uelewa na channel za king'amuzi cha star times kinachohusika na kurusha mpira wa kombe la dunia nimesikia TBC one... Ila ni mechi 26 tu vip vip kuhus channel zingine
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi shabiki wa Yanga damu damu kabisa ila hii timu ya ruvu shooting ndo timu ambayo inanivutia zaidi na pendaga jinsi lilivyo jina lao tu naonaga limekaa kibingwa bingwa hivi tatizo uwezo tu ila...
0 Reactions
1 Replies
527 Views
Hivi wale waliosema yanga ikipata ushindi kule Tunisia waitwe mbwa wamerudi kwenye hali ya ubinadamu au bado? Nawasilisha. Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
2 Reactions
14 Replies
874 Views
Tunajua kuwa wewe Mo ni shabiki na mwanachama wa Simba SC, tunaamini kuna wakati unajitolea kwa hali na mali kuifanya Simba iwe bora sambamba na kuinua furaha yako na mashabiki wenzako. Lakini...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
[emoji1173] Wydad Athletic Club - WAC - 3 [emoji1249] Espérance Sportive de Tunis - 3 [emoji1249] Club Africain - 2 [emoji1062] Coton Sport - 1 [emoji1062] Colombe - 1 [emoji1110] Asante Kotoko...
3 Reactions
1 Replies
667 Views
Natamani kiongozi mmoja amshike bega mtoto pendwa mwana Kalala amwambie kuwa katika mechi hii inahitajika nafasi moja ili kulipata goli moja, natamani amwambie kuwa pindi azam tv na king’amuzi...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Klabu ya Yanga imerejea kwenye kilele cha msimamo wa Ligi Kuu NBC kwa pointi 23 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamaa sio mjinga, kwanza ni msomi, pili michezo ya kimafia anaijua, tatu anazunguka na timu ili kuwa karibu nayo, nne, sio mpigaji, tano, injinia anapenda sana sifa, sita, anaonekana kabisa ana...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…