Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwa mara ya kwanza kwenye historia yake, Arsenal itakua na cheo cha Football director ambae ni Raul Sanllehi *(kabla hajaja Arsenal alikaa miaka 15 kwenye cheo icho Barcelona, engineered Neymar...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Mashabiki wa Arsenal waliokamatwa Jijini Jinja wakisherehekea ushindi wa klabu hiyo dhidi ya #ManchesterUnited katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza Januari 22, 2023 wameachiliwa huru Mashabiki...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Mpira wa Jana na Dodoma Jiji Yes Tumeshinda lakini Mwanasimba yeyote hajafurahi sana kwa sbb uwezo wa kupass ulipotea kabisa jana. Hakuna mchezaji hata mmoja wa Simba aliyewez kuwa na utulivu...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Mechi ya ufunguzi dhidi ya bingwa mtetezi wa Kombe la Dunia, Senegal anamfunga Ufaransa iliyotimia goli 1-0 na kuendelea hapo safari ikawa ni nzuri mpaka walipotolewa na Uturuki kwenye robo...
14 Reactions
144 Replies
28K Views
Wale wababe wa uto wapo mjini kujiandaa na Caf champions league group stage ,,wakitarajia kucheza mechi za kirafiki na Azam, Namungo na Simba huku Simba akiwa ndio mwenyeji wao. Huko upande wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Utopolo ikiwa na kikosi kamili imeshindwa kufurukuta kabisa dhidi ya Dar City katika mechi ya kirafiki. Hii ilikuwa mechi ya kirafiki iliyochezwa jioni ya leo. Mbali na maelekezo ushindi wa...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari za mda huu wana michezo Leo kutakuwa na mechi ya kukata na shoka apo LITI kati ya Azam fc itayochuana na SBS KISASI CHA MAPINDUZI CUP LEO KINALIPWA Vijana wapo tayari wamejiandaa...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii. Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani...
6 Reactions
43 Replies
5K Views
Frank Lampard, aliyekuwa kocha wa Everton ametimuliwa baada ya kupata matokeo mabovu kwa kipindi kirefu katika ligi kuu ya Uingereza. Klabu ya Everton inategemea kutoa taarifa rasmi hivi punde.
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Nbc na mabingwa wa muda wote nchini Tanzania[emoji1241] Young Africans S.C[emoji617] almaarufu Yanga leo tena wanashuka dimbani kukabiliana na maafande wa Ruvu...
7 Reactions
276 Replies
13K Views
Ni Mwenyezi Mungu tu pekee atusaidie hiyo Kesho Simba SC tuifunge Dodoma Jiji FC Kwao Jamhuri Mkoani Dodoma ila kwa Kinachoendelea Ushindi wa Simba SC Kesho utakuwa ni wa taabu mno, ila naona...
6 Reactions
68 Replies
5K Views
Jana kuna Mipira kama Mitano ( 5 ) tena Muhimu niliona kama angewaachia Wengine wapige huenda kuna Jambo la Faida lingetokea kwa Simba SC ila akawa anang'ang'ania Yeye na Matokeo yake Mipira yote...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni uzi maalum kwa kumbukumbu Kwa vile sayansi haithibitishi kila kitu ikiwemo uchawi inakuwa ngumu kupata ushahidi ila wataalam wa mambo wanakwambia kwamba haya mambo ya kupigana vipapai yapo...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Pogba anataka kurejea Old Trafford: Kufuatia mgogoro unaoikumba timu ya Juventus,baada ya kupokonywa alama 15 na kushuka hadi nafasi ya 13 kwenye msimamo wa Serie A,sasa kiungo Paul Labile Pogba...
2 Reactions
8 Replies
899 Views
Wakati tukiendelea kumpa pole Messi na Barcelona kwa kipigo kikubwa kutoka kwa Bayern, nimepata nafasi ya kuandika kidogo kuhusu Pele, ni tafsiri kutoka kwenye kitabu chake cha Why Soccer Matters...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Anayokumbana nayo Clatous Chama amenikumbusha pia aliyowahi kukutana nayo pia Juan Mata chini ya Jose Mourinho, Game na Mbeya city kwenye Dk za mwanzo Chama alitolewa na kwenda kupumzika kwenye...
1 Reactions
9 Replies
929 Views
Mechi za marudiano ya michuano ya CAFCL na CAFCC ni week ijayo tu ambapo Simba SC na Yanga kwa pamoja zitazitupa karata zao za mwisho kuwania nafasi za kuingia hatua ya makundi, katika hiyo...
13 Reactions
28 Replies
3K Views
Simba walikuwa na mapungufu muhimu ya kiufundi ambayo kwa hatua wanayotaka kupiga hasa huko CAF ilihitaji kuyarekebisha. Pungufu la kwanza lilikuwa ukosefu wa ubunifu katika kupenyeza mipira...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Kocha mbrazil mi nampa matches 3 tu kuanzia leo. Nlisema kuwa hapa Simba walijisahau kuwa wapo Africa tena Tanzania. Kumleta kocha Mzungu wakati kuna Waswahili walishakaa na Team. Leo hawa Mbwa...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Kwa kipindi cha karibuni, nimeshuhudia marefa wa kike waliochezesha mechi za ligi kuu wakizongwazongwa na wachezaji kwamba hawakubaliani na maamuzi yao. Hii imekaaje? Kwamba waamuzi wa kike...
0 Reactions
4 Replies
831 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…