Wakuu, ukichukulia mkulu anavyonasibu huu mradi wa reli kwamba itakuwa ni masaa kumi tu kati ya Dar - Mza basi nashauri awasiliane ha hawa jamaa watuletee kama hizi!
wanaume wawili wa jijini Dar es salaam wametangaza kiama dhidi ya kundi haramu la panya road
wameahidi kuwasaka usiku na mchana na kuwaangamiza kabisa,naambatanisha picha yao.