Nimeikuta pic hii sehem nimekuta watu wanabishana mengi lakin nikaona nielete hapa tuseme kama ndie au laa.
Mkisema mengine hayo yatakuwa yenu mi nataka kumjua tu
Ni mchezaji wa timu ya ac milan mwenyeji wa nchi ya Colombiaa amerika kusini. Anaitwa Carlos Bacca.Alizaliwa 8/9/1986.
Mzee wa Msoga angekuwa ametembelea Colombia december au novemba 1985...
huyo niliye mzungushia kiduara/aliye karibu na mwanamasumbwi mayweather simfahamu ni nani,ila nilimuona akiwa karibu naye sana kabla na baada ya pambano lake na man pacquiao.
aliyeshika kipaza...