Kitendo alichofanya naibu waziri maji Mh aweso kimenifurahisha sana na ni mfano wa kuigwa.nataka viongozi wa namna hii na sio wale wa kukaa ofisini wakipulizwa na ac tu.heko mh aweso
Tujuzane jamani hizo alama nimeshindwa kujua zina maana gani.
Hapo ni kahama kwenye maegesho ya magari makubwa ya mizigo,kwenye kumbukumbu zangu VETA sikuziona.
Sent using Jamii Forums mobile app