weka screenshots ya Apps ambazo zinakufanikishia kwenye uwekezaji...
Tujifunze kitu.
Kwangu mimi ni hizo...hapo Luna
1.UTT (Unit Trust of Tanzania)
2.NIC KIGANJANI (National Insurance Corporation)...
Kubali au Ukatae...iko hivyo
Wanawake wakivaa hizi nguo wanakuwa poa sanaa....halafu wanaonekana Classic wote yaani Wakishua hata kama sio....zaidi wanaonekana wasafi kumbe wengine hamna...
Kila kitu kinaendeshwa na watotonwa elf 2 ukubali ukatae game lipo mikonon mwao naomba tu watuvushe salama
Mashangaz samahanini kama nimewakwaza
Nimekaonja ka moja nimekua addicted sitoviacha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.