Ujinga mama huu unaitwa kwa WANAUME wa MKOANI [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nani kawadanganya kuvaa irizi ndo kujilinda[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuendelee au VITA Imeisha eti...
Madhali ningekua labda hata km ningekua na dhiki ya usafiri kwa mfano hata kama ningekua sina gari nisingepokea hii hata bureee sitakiii
Yaani big noooo
Hii ni dharau sana na kuudogosha umiss...