Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Japo muda wa kampeni haujafika ila CCM washaanza kum-brand mgombea wao, kitaalam imekaaje?
0 Reactions
3 Replies
494 Views
Ukikutana na watu wa namna hii basi fanya kununua kitu Hata ukiwa hauna njaa fanya kuwa sehemu ya furaha kwao. Kitaa ni kigumu sana wanandugu.
36 Reactions
85 Replies
5K Views
Muigizaji kutoka Ghana Princess Shygle, ameistua dunia kwa kufanyiwa upasuaji na kuondolewa mbavu zake tano pamoja na utumbo ili kupata umbo namba 8 kwa ajili ya kuvutia wanaume. Sent using...
1 Reactions
104 Replies
19K Views
Twende kazi unahisi wanapiga story gani hapa?
4 Reactions
30 Replies
1K Views
These are pictures that shows how nature can be scary 😨 really scary! That's a happy meal A large appetite for large meal In your head 😃 hope Mohombi is proud 👏 Kasongo becomes a meal A...
3 Reactions
4 Replies
452 Views
Hii ni picha ya Jean Claude Van Damme akiwa na Bolo Yeung. Hapo wakiwa katika movie ya bloodsport ya mwaka 1988 na picha ya nyingine walipokutana mwaka huu 2025 takribani miaka 37 baadae. Ama...
12 Reactions
20 Replies
2K Views
Weka picha ya Tanzania Ambayo hauwezi kuiona katika TV . Lengo ni Ku-raise awareness Kwa jamii kuwa Tuna Watanzania wenzetu wanoishi maisha magumu na wapo katika mazingira hatarishi. Kupitia...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Kulikua na haja gani mheshimiwa chawa kuvaa nguo ya aina hii? Hakika Anko Magu alituingiza choo cha kike.
2 Reactions
8 Replies
898 Views
Tupia picha ikionesha watu,wanyama au chochote katika Hali ya upendo Ni eidha upendo wa baba na mAma,baba na mtoto,mamaa na mtoto,familia,jamii au popote pale
1 Reactions
5 Replies
786 Views
Wakuu kwema? Nimeona leo tutaje matunda tunayoyapenda zaidi, na tuseme sababu za kuyapenda ili iwe elimu kwa ambao hawajui other side of fruits wonders to our body health. Binafsi tunda...
4 Reactions
109 Replies
3K Views
Bro thinks he’s still in his mother's womb 🥹
2 Reactions
14 Replies
667 Views
Naomba kufahamu picha hii ilipigwa katika tukio gani
3 Reactions
8 Replies
777 Views
Kwenye hii picha unaweza kudhani ni picha ya kawaida tu ila kama itatokea upo zako porini na haujapata kufahamu kuna kitu gani mbele yako basi fahamu muda wako unahesabika. Wapo watakaosema kuwa...
2 Reactions
7 Replies
682 Views
Twende kazi, hapa ni mkoa gani? Taja sifa moja unayoijua kuhusu hapa…
3 Reactions
7 Replies
774 Views
Surviving is winning, Franklin, everything else is bullshit. Fairy tales spun by people too afraid to look life in the eye. Whatever it takes, kid: survive.
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…