Kama alivyokuwa Bill Clinton na Kenedy Riz 1 anaweza kuja kuwa rais wetu huko siku zijazo....anything is possible kwa uwezo wake Mungu na bwana Yesu...
Nchi ina watu milioni 45 na yeye DEDI yake...
Ni kawaida siku hizi bajaji kutanua na kuovateki upande wa kushoto, isivyo sheria.
Asubuhi ya leo pale Mlalakuwa-JKT, bajaji katika kufosi kupita , lahaula kampiga pasi benzi.
Mtu wa kitu...
Mvua Inyeshe isinyeshe ulanzi utaletwa tu mjini Iringa. Pombe hii watani wangu wa jadi wahehe na wabena walisha wahi kuninyesha mwaka 1972 huko mjini Njombe sitasahau kamwe pombe yenyewe ipo kama...
Annie Hawkins-Turner raia wa marekani mwenye asili ya Kiafrika ambaye hujulikana kwa jina la utani kama Norma Stitz, ndiye mwanamke anayeshikilia rekodi ya dunia kwa kuwa na matiti makubwa...
Two-year-old Emily Campbell sits on top of a pumpkin weighing over 600kg, grown by Dale Oliver, which will be entered in the 2013 Sydney Royal Easter Show