Ewe Allah wajaalie wazazi wetu
wawe ni watu wa pepo ya Firdausi ya juu.
Allahumma aamiin
Subuhaana Allah
Ni jinsi gani tulikuwa tukiwasumbua wazazi wetu hawa,
lakini hata hivyo walikuwa na subra...
naomba kuwaasa wanaccm songea mjini waache ubaguzi hasa huyu katibu alietoka namtumbo mbinafsi sana tena mvurugaji mkubwa embu jivueni hayo magamba mnatuharibia chama nyiee :smash:
kama hapa bogo watu wanapigana vikumbo kuokota vyuma chakafu na chupa tupu,je ingekuwa hapa bongo hili dampo silingelindwa na polisi kabisa na kutungiwa sheria. hapa ni uko ng'ambo.
chanzo...
Nimeona challenge ya kuweka picha kubwa inakumba watu wengi hivyo nikaona nitengeneze hii video clip ili iwe msaada kwa wengi.
CAUTION: Sikuweka sauti. Hope it will be helpful to you guys...