WEDNESDAY, AUGUST 7, 2013
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Mama Tunu Pinda wakisalimiana na baadhi ya watumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London baada ya kuwawsili...
Kwa Wale ndugu zetu Waislam na wasio Waislam ningeliomba wenye uwezo kipesa tuuchangie huo mjengo wa Msikiti mpaka umalizike. Malipo yenu atawalipa Mwenyeezi Mungu inshallah haya tena kwa mwenye...