Huu ni mtambo maalumu kabisa lililobuniwa na Watanzania kwa ajili ya kutengezea dawa ya kulevya aina ya gongo inayopigwa marufuku na serikali ya Tanzania kutokana na madhara yake kwa binadamu...
Jamani angalieni hii imekaaje....na kwanini magavana wengine hawakuwekewa chochote zaidi ya huyu aliyetaka kufanya TANZANIA kuwa Paradiso ya Africa... EPA? Follow me on this...