Ni ubunifu nzuri rahisi na wa aina yake wenye faida nzuri sana.. Ya an I bunda moja la vibiriti 12 la shilingi 500 linaweza kukupa faida mpaka ya laki kutokana na ubunifu utaofanya
Tatizo la huu...
Hata kama umepanga nyumba, sio kisingizio cha kushindwa kua na ka-portable garden kako, kwa kutumia chupa za maji Tu, unaweza ukaanzisha bustani yako ya mbogamboga na ukawa hununui mboga
Huyu wa kushoto amekaribishwa na huyu wa kulia katika nchi yake bila shurti ya maelekezo ya kufuata utamaduni wake na itikadi yake na baada ya muda atafanya maandamano kushinikiza tamaduni yake...
Wakuu,
Msaada wenu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,uume wangu umepata kama vile mikwaruzo na kama vile ukurutu ambapo unawasha na vipele vidogovidogo, mwenye kujua tiba tafadhari...