Wiki iliyopita January 2014 watalii fulani wawili huko Afrika Kusini walijifanya wajuaji na kumkorofisha tembo na tembo akalishambulia gari lao na kuliacha written off, huku akiwajeruhi hao...
ni taifa changa kuliko yote duniani, walikuwa katika harakati za kujijenga,
Tanzania kama livyokawaida yetu kuleta amani kwa waafrica wenzetu. JK ruhusu wanajeshi wetu wakasaidie kuleta amani...
<tbody>
Mr Singh na Mkewe
</tbody>
Hakika haya tunaweza kuyaita mafanikio ya ajabu kwa mzee huyu kutokana maamuzi yake.
Labda tumite Mr Adui wa Maji ila jina lake kamili ni Mr Kailash Singh...
Ndugu zangu mimi ni mdau kati ya wanao tuma picture hapa Jf, napata shida jinsi ya ku attach picture. Tatizo la msingi ni jinsi page inapo funguka, mfunguaji inamlazim tena kufungua picha ambayo...
Askari huyu wa usalama barabarani huko Vietnam alihatarisha maisha yake pale alipodandia basi hili kwa mbele na kuling'ang'ania huku likiwa katika mwendo kasi baada ya dereva wake kugoma kupokea...