hivi ndivyo familia zetu zile za tatu katika chi ya tatu zilivyomaliza sikuku ya leo kisha watoto wakapewa shilingi 500 kwenda vibanda vya sinema za kihindi uswahili kwa wale tuliokulia vijijini...
kwa heshima na unyenyekevu napenda kuwatakia pasaka njema yenye furaha na amani tele wana JF wote kwa ujumla
Tuendelee kutakiana wishes na kutupiana kadi na picha tofauti za pasaka hapa.