hii jim ni mpya kabisa karibuni kina dada karucee,farkhina,faiza fox,chaminglady,dinazarde,ladyfurahia,sista,husninyo,king'asti,heaven on earth,bantu...
Hii picha inawaonyesha tembo wakiwa wakotilalila baada ya kungonga kilevi chao aina ya MURULA,haya nimatunda ambayo hutengeneza pia kinywaji cha AMARULA....source Michuzi blog