Wakuu leo ntakuwa pale sport bar greek mitaa ya uzunguni karib kabisa na oldvai restaurant...rond about ya impala na hii kitu nikifungua kombe la duniabaada ya hapo sijuii....
Style ya majengo marefu mbeya itakua ya style hii nadhani ni kutokana na ile dhana ya matetemeko ya ardhi....ila sio kwamba wameshindwa kujenga maghorofa marefu jamani dah ni hali ya huku tu maana...
Hii Nimeipenda sana wadau
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakijumuika na waombolezaji wengine katika Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam...
Badal Nanjundaswamy uses an open manhole as the mouth while depicting the Hindu god of death, Yama, in Bangalore, India. <meta content="Manjunath Kiran, AFP/Getty Images" itemprop="copyrightHolder">
Wacholaji nao hawako nyuma kuchola mbwembwe za kombe la Dunia mitaani.
Tiketi yangu ya mechi ya ufunguzi unapewa na hivi vitu kama ishala ya ukumbusho.
Mtaani nako ndivyo kunavyoonekana
Madukani...