miss neddy, kwa kuperuzi mtandao wa Jamii Forum umetisha kwa kweli.
Naomba uniwie radhi, nimeona niweke picha hii niliyokupiga juzi ofisini kwako ili kuwaonyesha wadau jinsi unavyoperuzi mtandao...
Wabunge wakisoma kwa kutumia mwanga wa tochi za simu ndani ya Bunge jana mara baada ya umeme kuzima katika ukumbi huo wakati walipokuwa wakipiga kura kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa...