kuna jamaa mmoja hapa mjini anaitwa deus torani huyu jamaa amekua akichukua fedha za wanafunzi wanaotarajia kwenda chuo hasa kwa wale waliokosa mkopo kuwa atawafanyia mpango majina yao yatoke...
Mstaafu Rais Ali Hassan Mwinyi (amezaliwa Mei 8, 1925) akiongoza matembezi ya kilometa 5 ya hisani ya 2014 Dar Rotary Marathon ambapo waandaaji, Klabu ya Rotary walifanikiwa kukusanya takribani...