Ukitazama hizo picha mbili unaweza kupata taswira nini maana ya kuwa Rais...Swali la kujiuliza inakuwa vipi mtu anakosa usingizi kupigania kupata nafasi ambayo itapelekea yeye kuzeeka kwa kasi...
Stand United wakiingia uwanjani na katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa...