Ayanna Williams ni mwanamke anayeishi Jijini Texas nchini Marekani,
Ndie mwanamke anaeshikilia rekodi ya kuwa binadamu mwenye kucha ndefu zaidi duniani amezifuga kwa Zaidi ya miaka 30,
kulingana...
Huko France kuna punguzo kubwa la flat tv, yaani bei ni euro 2 sawa na 4900 pesa za Kitanzania.Flat tv aina ya Samsung inchi 65.
Hapa Bongo bila ya zaidi ya milioni 3 hupati