Tazama hiyo DOT ya katikati kisha sogea karibu na picha halaf rudi nyuma kisha fanya tena kama hivyo mara kadhaa then tell me.............zinazunguka au hazizunguki ?.
Hivi ni baadhi ya vyakula na vinywaji vinavyopatikana kwenye maduka makubwa(supermarkets) za Kichina. Mojawapo ya maduka haya maarufu ni Walmart. Je, ni chakula au kinywaji gani ungependa...