Najaribu kutafakati embu na ww tazama, alafu umejengwa karibu pembeni mwa benk kuu idodomyaa. Cjui ziwe zinachotwa tuu. Ila cjajua ni kodi zetu au ni pesa za fomu za urais.
Wanaume wa Ki Austria Wakivaa Mavazi ya Kike ya ki-Islam huku Wakinywa Pombe wanajaribu kuharibu mila na Desturi za Wanawake wa Ki-Islam lakini wanashindwa kuupiga Vita Uislam usizidi Bara la Ulaya.