Wafanyabiashara na makampuni wananunua michoro mbalimbali kwa ajili ya investment ya baadae. Kila miaka ikipita, thamani ya michoro inapanda.
Hizi ni baadhi ya picha za wachoraji mbalimbali...
haya sasa...teknolojia inaendelea kupanuka.hii ndio jinsi inayochaji smartphone vizuri kama powerbank.imeshaingia sokoni marekani kwa dola 189.(400,000 pesa ya Tz).
Nilipoangalia hii katuni toka kwenye tovuti ya The Citizen, niliona haya yafuatayo:
1. EL ana political muscles zaidi ya Magufuli.
- Kikubwa kwa Magufuli kwa kadri ya picha ni kidevu tu.
2...
Mbio za uraisi za Fisadi Lowasa zaweza kuelezewa kwa kutumia picha hiyo hapo chini, ambapo fisadi Lowasa anaonekana akitimua Mbio kweli halafu Karoti ndiyo Uraisi!