CHADEMA NA UKAWA WABEBA WATU NA MALORI KUTOKA MIKOANI KWENDA DAR
Hii nihatarisha Usalama wa Wananchi walio bebwa kwenye lori
Wana UKAWA wakisafirishwa kutoka Mikoani kwenda Dar
Hapa ni picha mbili za wakati Ukawa wakimtambulisha mgombea wao Lowasa, Mbeya mjini na picha nyingine ni za ccm kwenye mkutano wao mkuu wa kampeni wa magufuli na wasanii yapi ni maoni yako?
MAGUFULI AUNGURUMA MBEYA MJINI
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa mikutano wa Rwanda Nzovwe, Mbeya.
Wananchi wa Mbeya mjini wakiwa...
MAMA SAMIA ARINDIMA LEO MAJIMBO YA MBULU NA BABATI
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo...
MHESHIMIWA MAGUFULI AITEKA MBEYA
Mhe. John Magufuli akiwa katika Kampeni Mbeya akiungwa mkono na viongozi wengine pamoja na Wanachama.
Akihutubia Malefu wa Wananchi wa Mbeya
Mheshimiwa...