Mgombea Ubunge Jimbo la Bumbuli Ndugu January MAKAMBA alipozungumza na umati wa wakazi wa jimbo la bumbuli Mkoani TANGA. Kwa umati huo ni ishara tosha kua anasubiri tu kuingia bungeni kwani...
Kura yetu ni ya uadilifu, uchapakazi, maendeleo, amani, umoja na mshikamano wa kitaifa. Kura yetu si ya ukanda, vurugu, udini, ufisadi, wala ukabila. Kura yetu ni kwa Dkt John Pombe...