Dar imetapika. Nyomi ya kufa mtu, naam huyu ndio Mh. Magufuli na hii ndio CCM ninayo ifahamu. Kilicho bakia ni KUIZIKA UKAWA na kumchinja Lowassa Jumapili.
Mungu Ibariki CCM
Mungu Ibariki...
Magufuli ni mtu wa kutumwa na LOWASSA,
TOFAUTI YA MTU ANAYEFIKIRI KWA PEN NA MTU ANAYEFIKRI KWA NGUVU
Lowassa ni nani?
1:Deng Xioping - Mtu mwenye ujasiri wa kugeuza sera Za Chairman Mao na...
Utasikia kulikuwa na mafuriko ya kufa mtu, kumbe HAWAMTAKI Lowassa watu wa Ngorongoro. Ndio maana huoni picha za huu mkutano kwenye magazeti na mitandao.