Mama Maria Nyerere anakuomba umpe kura yako Mh. John Magufuli

Mkamba Mmasai

JF-Expert Member
Apr 18, 2015
384
65
12032282_911166898959072_62778988174210076_n.jpg
 
Haitaji kutuomba..Tulishampa Magufuli toka day 1. Tuliapa kamwe hatuwezi kumkabidhi fisadi ikulu
 
Nadhani ingekuwa busara sana angehamasisha watu wakapige kura tu , hayo ya kumchagua fulani na kumuacha fulani aachane nayo.
 
Nadhani ingekuwa busara sana angehamasisha watu wakapige kura tu , hayo ya kumchagua fulani na kumuacha fulani aachane nayo.

Nawe pia ingekuwa busara usingeweka hii comment yako.
Magufuli ndiye rais wetu, penda usipende!
 
Ninasubiri kwa hamu watu wenye heshima katika nchi hii kama Mama Maria Nyerere, Jaji Warioba, Mzee Msuya, n.k watakapoficha nyuso zao baada ya Uchaguzi.
 
Back
Top Bottom