Wakuu hii nimeikuta kwenye mtandao wa RWANDA hapo chini, kama unaona haina maana achana nayo.
TANZANIA-RWANDA: SILENT WAR IN TANZANIA
After Tanzania sent many Rwandan Tutsis back in Rwanda for...
Mawingu ni mkusanyiko wa Molekuli au Mvuke fuwele utokanao na maji au kemikali mbalimbali, unaelea angani juu ya uso wa dunia.
Suratul Nur 24:43
Je! Huoni ya kwamba m/mungu huya sukuma...
Kuna tetesi kuwa ushindi wa rais wa sasa wa Burundi umefifilisha ndoto ya wahima wote wanaoishi katika ukanda wa maziwa makuu ya kuhakisha kuwa nchi zote za ukanda huu zinatawaliwa na wao.
Ili...
Kila nikifatilia historia juu ya majengo makubwa na yenye stori lukuki pale Egypt, yani pyramids napata mashaka ya nini kinachoendelea.
Hususani kumekuwa na stori tofauti tofauti lakini bado...
Huu ni mfano wa sanduku la agano ambalo wana wa Israel waliambiwa watengeneze na Mussa wakiwa nyikani wakitoka Egypt (Misri) wakielekea promised land (Nchi ya ahadi). Sanduku hilo lilikuwa ni kama...
PART-1
"Mapambano tunayowaitia hayana mahusiano na mijadala ya Socrates wala mawazo ya plato wala diplomasia za Aristotle.
Yana mahusiano na mijadala ya mauaji, ulipuaji na uharibifu.Serikali ya...
Watu wachache kabisa na wamiliki wa kampuni chache tu, lakini kampuni kubwa mno duniani, watu hao nyuma ya kampuni hizi wanafanya kila wawezalo usiku na mchana kumiliki kila punje ya mbegu iliyopo...
Mungu wa Israel,
Mungu Allah,
Mungu wa wabudha,
Miungu ya kale pale misri,
Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo hai.
Ukweli mchungu ni...
Waandishi wa habari undercover wanajifanya kuwa majambazi wenye dola bilioni moja za pesa chafu zinazohitaji kusafishwa. Wanapata upenyo kwa wanachama wa Afrika wa Gold Mafia na kurekodi mikutano...
Habari nilipata hivi punde kutoka huko Nyamongo, TARIME, Kuna mapambano kati ya jeshi la polisi na Intruders (raia wanaotaka kuingia kwa nguvu) kwenye mgodi huo.
Na hadi sasa inasemekana...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi...
There are many factors and reasons that lead a person to hold onto their beliefs and personal opinions, even when they contradict certain facts and scientific theories. The most prominent of these...
---
### Introduction
Throughout history, societies have attributed major events—wars, migrations, victories, and catastrophes—to divine will. But does this framing serve to reveal deeper truths...
The Voynich Code - The Worlds Most Mysterious Manuscript - The Secrets of Nature
Ni kitendawili cha muda wa taktiban miaka 600
Mnamo 1912, muuzaji wa mashirika ya kale aitwae Wilfrid...
Habarini wana JF,
Hadithi za Biblia na Quran zinaeleza Shetani na Robo ya Malaika ndo waliasi mbinguni ila sote tunajionea ni miaka maelfu sasa huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia na kadri...
JASUSI PAUL KAGAME ALIEITOA RWANDA KWENYE ARDHI YA DAMU
(Simba Wa Vita Alieikimbia Rwanda Kwa Mtutu na kurudi kuikomboa Kwa Mtutu).
version. 2
Naam Baada Ya Maombi mengi...
Nilikuwa naangalia hii video niliyotumiwa na rafiki ya mmoja.
Kwenye video hii inaonesha tangu mtu anafungwa kwenye sanda mpaka anazikwa.
Nikajiuliza ni kwa nini waislamu wanazuia wanawake...
Kwanza nimpongeze Hon. D. Trump kwaujasili wa kuiondoa USA katik ufadhili wa WHO. Binafsi naona kama anania ya kufikirisha akili za viongozi wa nchi masikini kutumia vizuri makusanyo yao ya ndani...
Haya maneno yana maana mbali mbali kutegemea na muktadha wa matumizi. Sasa tuache maana zingine zote hebu naomba ufafanuzi wa haya maneno kwenye shughuli za kiusalama (jeshi la polisi, jeshi la...