Kwa muda mmrefu sasa kumekuwa na malalamiko mengi kuwa jeshi la Police limekuwa likitumiwa kisiasa na chama tawala,lakini kauli hizo zimekuwa zikipuuzwa. Kutokana na hali hiyo nimepata maswali...
Hivi Shekhe Farid Hadi Ahmed na wenzake wameshitakiwa kwa kosa la uhaini au ugaidi au mauaji ndio maana hata sasa wako rumande? Mwenye kujua anijulishe. Hivi watetea haki za kibinadamu wa...
Kuanzia mwaka huu vyuo havita ruhusiwa kudahiri wanafunzi ambao hawajapitia jeshi (fresh fom the school) kama bunge lilivyo pitisha.
Ila utaratibu huu umelalamikiwa na wengi sana, Kwanza baadhi...
Katika soma soma zangu nimeona jinsi ujasusi wa kiteknolojia na kiuchumi ilivyoisaidia china kufika hapo ilipo. Lakini Nimekuwa najiuliza je serikali yetu ya Tanzani inao majasusi wa aina hii...
Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tu tangu bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Arusha, jana tukio kama hilo lilitokea jijini Dar es Salaam kwenye...
Ndugu Wana JF
Kwanza ni declare interest..mimi ni Private Detective nina degree ya criminology kutoka chuo kimoja huko Salt Lake nchini America.....nina takribani mwaka mmoja toka nimerudi nchini...
Na Josephat Isango
HARAKATI za Jeshi la Polisi kuishinikiza CHADEMA kuwasilisha ushahidi unaolituhumu jeshi hilo kuhusika na mlipuko wa bomu mkoani Arusha hivi karibuni na kuua watu wanne...
Salaam wakuu,
Juzi kuna mdogo wangu alikuja na documentary flani ya jamaa anaitwa Jesse Ventura ambae ana documentary kadhaa kuhusu conspiracy theories eg. Global warming, Time travel etc...
Ndugu zangu,
Naamini kila mtanzania hivi sasa ni shahidi wa matukio ambayo yamekuwa yakijitokeza nchini kwa kuwahusisha polisi. Pamoja na mfululizo wa polisi kuua watu kwenye mikutano ya...
JE? UMESHAJIULIZA NI KWANINI SERIKALI HAIWAPI WANANCHI TAARIFA HIZI NA BADALAYAKE HUKAANAZO KIMYA BILA YA KUZITAO KWA WANANCHI WAKE?
WATANZANIA ambao idadi yao inaweza kupita mamia...
Tangu nirudi hapa Tanzania nimeshuhudia magari mengi binafsi yakiwa na madirisha giza yaani tinted, nimejiuliza sababu za msingi ni nini nikakosa jibu.
Kwa mwenye kuelewa atuelimishe nadhani wengi...
Heshima zenu wakuu..nasumbuliwa na fikra za kutaka kumjua baba yangu mzazi maana tangu nimezaliwa sikuwahi kumuona wala kumsikia nimelelewa na wajomba na mama pekee..nafikiria kumweleza mama...
"Mtanzania anaweza kutoka na biashara yake kuja kuuza Afrika Kusini, baada ya hapo anapanda ndege ya moja kwa moja kwenda China. Akiwa uwanja wa ndege anakutana na Mnigeria muuza madawa ya...
Mwandishi wa Gazeti Uhuru anayejulikana kwa jina Selina Wilson alienda makumbusho ambako kulikuwa na ugeni mzito wa Mke wa Obama Michelle Obama kwa mwenyeji wake Salma Kikwete. Selina alikuwa na...
Rwanda ipo wapi jamani?
10. Uganda:
9. Kenya: Kenya is the second strongest Nation in East Africa Economically
8. Ghana:
7. Ethiopia: Ethiopia once was considered the strongest country in East...
1. Kutekwa na kuteswa kwa ULIMBOKA, chadema walikuwa mstari wa mbele kuitaka serikali iunde tume huru ya kuchunguza tukio hili. Hii ni sifa, tabia na janja ya kikundi chochote cha kigaidi kwani...
TUNAO USHAIDI WA PICHA KUWA CHAMA TAWALA KINA KIKUNDI CHA WAASI AMBAO WANAITWA GREEN GUARD,KAMA KWELI VYOMBO VYA ULINZI YAANI, POLISI,TIS NA JWTZ NI WAWAJIBIKAJI TUNAOMBA MTUPE MAELEKEZO YA KINA...
Mankind has always had a semi-violent nature as its driving force. Over the years, people have obsessed over finding the best ways to dispense of adversaries as well as win conflicts amongst...