HAPA hutokea hali ambayo nyama zinaota na kukua kama tabaka au ukuta mwingine juu ya misuli ya kizazi Ectopic Glandular tissues.
Awali tatizo hili liliitwa kitaalamu Endometriosis Interna...
SHIGONGO AFAFANUA MADHARA YA UGONJWA WA INI
Mapaparazi kazini.
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho (kushoto) na Mwakilishi kutoka Sanofa, Edwin Kisimbo, wakifuatilia kwa makini...
Kuna dada kaniomba ushauri, anadai anaujauzito wa siku 90 , anashindwa kula na anatapika kupita kiasi, nimemwambia nitamjibu baadae nililete kwa wadau kwa ushauri ili niwe na jibu zuri la kumwambia
Naomba mwenye kujua dawa ya jicho anambie, jicho lilianza kitu km mchangabaadae likaanza kuvimba hlf linatoa machozi tu muda wote.
Nimeenda hospital nimetumia dawa aina 3 . Chloramphenical eye...
Wakuu nimekuwa nikipata tabu sana na namna ya kuhifadhi Parachichi kwenye friji pale unapoyakata na kushindwa kula ukiamini kwamba ukiweka kwenye friji kesho yake yatakuwa fresh, lakin badala yake...
Habari wadau,
Mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa mwaka wa 17 sasa na tumejaaliwa kupata watoto wanne wote wa kike.
Kutokana na uzazi wa mke wangu kujifungua kwa operesheni...
Nahitaji tiba na ushauri kuhusu hili.Kuna vipele(sundosundo) vimetokea sehem za siri kwenye ringi ya ume wala haviwashi ni miaka 5 sasa.
Nimetumia baadhi ya dawa sioni mafanikio yoyote zikiwemo...
Ndugu zanguni, wanabodi!
Mke wangu ni mja mzito na kwa mujibu wa clinic yake na amepima pia kile kipimo cha utra sound na ikajulikana kwamba angejifungua tarehe 3 ya mwezi wa nne, cha ajabu hadi...
Mimi nina mama yangu mzazi nilimpeleka hospital wakamwambia anavidonda vya tumbo akaendelea na tiba sasa anasema anasikia harufu kali sana hata saa nyingine tumekaa naye anaziba pua anasema...
Habari zenu wapendwa, naombeni ushauri wa hii hali nilonayo, nna ujauzito wa miezi mitatu na nusu ila nahisi kama kiumbe kinacheza tumboni na mtikisiko wa tumbo huonekana hata kwa kuangalia tumbo...
Hello bandugu. Naomba kupata msaada wa kitaalam.
Nimekua nikisumbuliwa na maumivi katika unyayo wa mguu wangu wa kushoto.
Ninapotembea na kukanyaga sehemu yenye bonde ninapatwa na maumivu...
Mimi ni kijana wa kike nina tatizo la kupata uvimbe ukeni baada tu ya kumaliza siku zangu kuna mtu nlimwambia akanambia labda inatokana na pedi ninayotumia lakini nilibadilisha na bado tatizo...
The 12 worst kind of people you'll encounter on public transport
View PhotoYahoo News/Getty - The London Underground: Testing (Getty)
Campaigners against the Women eating on the Tube...
Habari madaktari, jamani naomba mnisaidie, nimejifungua mwezi wa kwanza mwaka huu, nimekaa kama mwezi hivi nikiamka asubuhi kisimi kinanium mfano wa jipu linavovuta mpaka nakosa amani naomba...
Mke wangu alitumia dawa ya metro, kumbe alikuwa ndo anaconserve mimba, sasa tumbo linamuuma, kiuno, kutapika na kuhc bleedng nisaidie doctor tatizo nin?
Na km mimba ikiendelea kukua mtoto atakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.